Kwa hili loan board iburuzwe mahakamani

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,852
5,622
Mwaka 2014 board ya mikopo ya mikopo ilisimamisha kwa mda wa miezi mitatu hivi kukata malipo ya mikopo kwa wadaiwa kupisha mabadiliko ya utaratibu mpya wa ulipaji mishahara ambao ulikua centralized.
Loan board wamekuja juu ati watakata amount ya ile miezi mitatu walio skip na penati.

Swali ni kwamba penati ya nini maana wao ndo walisimamisha makato.
Nashauri endapo wanafanya makato na penati itakua ni dhuluma dhahiri na response iwe kuwapeleka mahakamani.

Njia Rahisi kutekeleza hili ni either kutumia vyombo vya wafanya kazi au waathirika kujioganize.
 
Mkuu unazungumzia vyombo vya wafanya kazi kama CWT au?
 
Nina kama mwezi nawaza niwashitaki au la.

Walinikata deni lao lote kwenye mshahara tena pasipo kunishirikisha. Zaidi ya mwaka sasa deni liliisha.

Ghafla wameniorodhesha kwenue orodha ya WADAIWA SUGU.

Sipati picha ilikuwaje.

Hivi humu kuna wakili ana muda nimpe vielelezo tutafute pesa mahakamani?
 
Uwashitaki loan board kwenye mahakama zipi?,labda ya Afrika Mashariki,lakini za hapa kwetu utashindwa vibaya mno.
 
Back
Top Bottom