Kwa aliyepitia hiki kwenye ulipaji Loan's Board

Kwa aliyepitia hiki kwenye ulipaji Loan's Board

Lundavi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
328
Reaction score
326
Habari wanajukwaa, nilikuwa nafuatilia loan board statement ili kujua kiasi kilichobaki nikilipe Sasa baada ya kuipata nimekutana na majanga. Yaani kiasi nilicholipa Kwa miaka Saba ya utumishi wangu ni kidogo sana.

Nimefuatilia ulipaji wangu toka nimeanza mwaka 2016 nikagundua Kuna baadhi ya miaka inaonekana nimelipa miezi miwili tu, miaka mingine miezi nane kati ya 12 na mwaka unaoonesha nimelipa miezi yote 12 ni mwaka 2020 tu. Nikipiga hesabu naona makato ya zaidi milioni 2 na point hayajaoneshwa kwenye loarn statement.

Tubadilishane uzoefu Kwa waliopotia hii kadhia na waliitatuaje maana hesabu zangu deni lao ni kama million 1.9 tu ila wao kwenye loarn statement wanaonesha Bado nadaiwa zaidi ya milioni 4.

Natanguliza shukrani.
 
Bado upo na muajilibwako yuleyule? kusanya statement zako za miezi ambayo inaoneka haukulipa. kisha wapelekee. kuna muda Board hawapost marejesho
 
Bado upo na muajilibwako yuleyule? kusanya statement zako za miezi ambayo inaoneka haukulipa. kisha wapelekee. kuna muda Board hawapost marejesho
Niliwahi hama. Kwahiyo nawapelekea bodi baada ya kuwa na hizo taarifa.
 
Habari wanajukwaa, nilikuwa nafuatilia loan board statement ili kujua kiasi kilichobaki nikilipe Sasa baada ya kuipata nimekutana...
Piga simu 0624100011 piga work hours and days
 
Back
Top Bottom