Ni hatari sanaUna hoja ya kimsingi SANA, mf., mshahara wa 40'000 kwa mwezi kiukweli haotoshi kabisa- Huu ni utumwa uliokithiri. Kufanya kazi isiyo na maslahi bora wala ukomo wa muda wa kazi kwa siku yahitaji moyo wa ki-MUNGU. Hawa wadada wataendelea sana kuwa makatili endapo waajiri wao wasipo watengenezea maslahi bora na kujaliwa kwa dhati- Hakuna shortcut kwenye hili
Mkuu hii ajira inabidi ilasimishwe na waajiriwe walipwe pesa ya kutosha otherwise tutaendelea kuona mengi na serikali iangalie namna ya kuwasaidia hao watoto .Mkuu ulishawahi kuishi na hawa wasichana, ukazijua walau kidogo familia wanazotokea??
Hapo serikali unailaumu bure tu, kwani unadhani hiyo ajira sio rasmi. Kwa hao viongozi na watu wenye wadhfa kuna wadada wa ndani wanaolipwa hiyo mishahara.
Ila huku kwetu huku eti iwekwe sheria strictly kabisa walipwe zaidi ya laki aisee utaibua tatizo jingine la biashara ya binadamu.
Ujue hawa wadada mara nyingi huwa wanachukuliwa vijijini huko, ambako sh. 10k ni kubwa mno, kiasi kwamba akilipwa hiyo 30k mzazi akatumiwa yote au akakaa miez 2 akatumiwa 50k, sio rahisi kumshawish eti mwane aondoke huko anakofanya kaz.
Tatizo kubwa ni umaskini ndgu yangu, kimjini mjini wanalipwa elfu 30 kwa mwezi, pesa ndogo mnoo lakini kwa familia walizotokea ni pesa nzuri kwao, hawataki kuacha, mzazi wake hataki aache. Kuna dada aliambiwa na baba yake ukirudi nyumbani basi sisi sio wazazi wako. Sasa kwa umri wao na hayo maneno sio rahisi kusepa.
Kuna watu ni very insane, unakuta kwenye baadhi ya familia dada wa kazi analala saa 7 usiku na kuamka saa 10 alfajiri, sasa huyu si anakuwa punda? 🤣 🤣 🤣 . Matukio hayatoisha unless waajiri na wenyewe waanze kubadilika- Kuna familia unakuta mwajiri ni very exceptional, anasomesha hadi wafanyakazi wa ndani na kuwapatia muda wa kutosha wa mapumziko which is very rare.250,000 per month that's impossible kwa dada wa kazi na majukumu yanatofautiana familia Moja Hadi nyingine.
Kubwa wanaMAMA punguzeni midomo kutwa gubu mtoto wa watu hujawahi hata kumwonyesha sura ya tabasamu Kila kitu ni malalamiko+ unamtreat kama sio part ya familia, magubu yenu ya kutaka uperfection mtaendelea kuona mengi kutoka kwa hao wadada wa kazi mnaona hiyo 50k mnayowalipa ni nyingi.
Money can't buy everything,
Humanity comes first
Hakuna TANZANIA mtu ampae dada wa Kazi 250 hata Waziri halipi sana Sana atampa 80 au laki.Tuanze kwako tukiachana na unafiki, unaweza kutoa 250k kwa mfanyakazi wa ndani ?
Cha msingi kinachotakiwa ni kuishi nao vizuri Sana pia wachukulie Kama wanao au wadogo zako, wape amani muda wote Sasa kinachofanyika wafanyakazi hao wanateswa na kunyanyaswa, wanakosa amani muda wote ni masimango na kutukanwa, hapo unategemea nn?
Ndo nashangaa huyo anayetolea mfano kima Cha chini kiwe 250K, Kuna watu wanafanya kazi kwa wahindi kwa mshahara wa 150K na huku wana degree na wanaridhika na hujawahi kusikia kaua mhindiHakuna TANZANIA mtu ampae dada wa Kazi 250 hata Waziri halipi sana Sana atampa 80 au laki.
Ukatili ni tabia hautokani na kipato wapo waliolipwa vizuri na kufanyiwa wema wote lakini wakaishia kuwafanyia ukatili mabosi zaoNakubaliana na wewe kwamba maslahi yao ni madogo. Lakini natofautiana hapo kwamba ndio chanzo Cha ukatili na unyama. Ndio maana wapo wanaolipwa kidogo na hawatasubutu kufanyia mtoto ukatili na wapo wanaofanya unyama Kwa watoto bila kujali maslahi.
Kama ambavyo wanawake wanauwawa na wanaume katili au wanawake wachache wananyanyasa waume zao.
Hawa watu unawezamchukulia kama mwanafamilia akakutenda, ukashangaa sehem ananyanyaswa haruhusiwi hata kuketi sebuleni au kula na familia na Bado ana utii na unyenyekevu wa hatari.
Matibabu ya akili na vipimo vya mara kwa mara vya akili kama ilivyo kwa marubani ni muhimuHawa watoto haya matukio wanayofanya na matokeo ya maisha waliyo ishi huko Nyuma wengine wanahitaji Matibabu
Ukatili ni tabia hautokani na kipato wapo waliolipwa vizuri na kufanyiwa wema wote lakini wakaishia kuwafanyia ukatili mabosi zao
Kuna manyanyaso mengi sana chini ya kapeti na wanayavumiliaKuna watu ni very insane, unakuta kwenye baadhi ya familia dada wa kazi analala saa 7 usiku na kuamka saa 10 alfajiri, sasa huyu si anakuwa punda? 🤣 🤣 🤣 . Matukio hayatoisha unless waajiri na wenyewe waanze kubadilika- Kuna familia unakuta mwajiri ni very exceptional, anasomesha hadi wafanyakazi wa ndani na kuwapatia muda wa kutosha wa mapumziko which is very rare.
Duh, mtu unamlipa 30000 halafu anafanya kazi zote wa kwanza kuamka wa mwisho kulala, sio haki.Mkuu ulishawahi kuishi na hawa wasichana, ukazijua walau kidogo familia wanazotokea??
Hapo serikali unailaumu bure tu, kwani unadhani hiyo ajira sio rasmi. Kwa hao viongozi na watu wenye wadhfa kuna wadada wa ndani wanaolipwa hiyo mishahara.
Ila huku kwetu huku eti iwekwe sheria strictly kabisa walipwe zaidi ya laki aisee utaibua tatizo jingine la biashara ya binadamu.
Ujue hawa wadada mara nyingi huwa wanachukuliwa vijijini huko, ambako sh. 10k ni kubwa mno, kiasi kwamba akilipwa hiyo 30k mzazi akatumiwa yote au akakaa miez 2 akatumiwa 50k, sio rahisi kumshawish eti mwane aondoke huko anakofanya kaz.
Tatizo kubwa ni umaskini ndgu yangu, kimjini mjini wanalipwa elfu 30 kwa mwezi, pesa ndogo mnoo lakini kwa familia walizotokea ni pesa nzuri kwao, hawataki kuacha, mzazi wake hataki aache. Kuna dada aliambiwa na baba yake ukirudi nyumbani basi sisi sio wazazi wako. Sasa kwa umri wao na hayo maneno sio rahisi kusepa.
Mtu anayemlipa mfanyakazi 30K acha tu atendewe ubaya,hata sense ya kawaida tu hiyo siyo pesa ya kuthubutu kumsubirisha nayo mtu hata kama ni maskini kiasi gani!Mkuu ulishawahi kuishi na hawa wasichana, ukazijua walau kidogo familia wanazotokea??