mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 17,119
- 53,144
Tatizo la haya mambo huwezi kuyathibitisha. Ukiambiwa uthibitishe utasema 'kuna mkristo/muislamu unamjua alikua hivi na hivi' sasa hao wachache sio wote....Wanawake wa Kiislam (Wale Waislam Kweli)
Hawa mara nyingi ni Wataam sana ukilinganisha na hawa wa upande/pande nyingine.
Kwanini?
Mavazi yao yanatunza joto la mwili na kuupa mwili joto zaidi hivyo hata uke wao unakuwa na joto la hali ya juu.
Tafouti na hawa wanaovaa vimini na visket au suruali za kubana, ndio suruali ya kubana haina msaada wa kutunza joto hitajika..
Pia rangi za miili yao inakuwa inawaka kutokana na joto ngozi inatakata.
Kutokana na mavazi yao, joto kupelekea kutoa takataka za mwili kwa njia ya jasho na sio kutegemea njia za haja pekee.. hivyo 24/7 mwili unajiswafisha.
Kutokana na utaratibu wa kujitwaharisha kwa kuswali mara kwa mara, basi miili yao inakuwa swafi muda wote..
Refer utaratibu wa kujiswafisha wakiwa msalani au wakiwa ktk P na majosho ya Janaba..
Kutokana na hali ya kujistiri sana baas na Manukato hakuna wa kuwazidi hawa Wadada wananukia mno.
Mapishi pia, huwezi kuwafananisha na hawa wa upande wa pili.
Niibe siri tu.
Mwanamke anayejua kupika always hata kitandani ni mzuri na ni mtamu na anajua sana kukitumia kitanda.
Hawa wa upande wa pili asilimia kubwa hamna kitu.
Karibuni mnipopoe.
Inakua sio uungwana.