CR wa PROB
Senior Member
- Sep 21, 2011
- 170
- 29
Leo ni mara yangu ya pili kukusikia mh Pinda ukizungumzia maswala yanayoigusa jamii,
Kwa kifupi leo nimefarijika sana kumwona waziri mkuu wetu akiwa anawaonya na kuwakemea viongozi ambao wanatumia pesa za walipa kodi kuingia kwenye misafara mingi pale wanapoona kuna kiongozi mkubwa serikalini amekuja kwenye maeneo yanayowazunguka, kwa nchi kama Tanzania imekuwa kama desturi ya viongozi waandamizi wa wilaya na mikioa kuingia kwenye misafara isiyowahusu huku wakiwa wanatumia vibaya pesa za walipa kodi kwenye kujipangia marupurupu ya per day pamoja na mafuta siku akija kiongozi mkubwa serikalini.
Kiukweli Mh Pinda kwa nafsi yangu umenifurahisha ulipowaambia wawatembelee watu kwa muda wao bali sio kusubiri upite wewe kama waziri mkuu ndio wakufuate nyuma kwenye msafara wako, kwa hili Pinda nakupa big up sana!!!
MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
A cat that bites worth more than a toothless lion.
Candidate scope mbona kila jambo tunataka kumwagia lawama mkuu wa nchi?? MNYONGE MYONGENI HAKI YAKE MPENI,kunya anye bata akinya kuku kaharisha,hebu punguzeni chuki kwa mkulu wa nchitu, MFUMILE KUTALI NJILE KUTALI. Safari yakuikomboa tz bado ndefu.
Pinda hana lolote anaongea maneno matamu na mazuri ila vitendo kamwe hatekelezi. Kama hili la sukari ndo limebamba moto kwelikweli utafikiri ndo aliwakumburasha. Police wa boda ya tarakea wanapaki magari yao barabarani kusubiria malori ya sukari na mahindi kwa kila lori kuna sehemu wanaacha laki moja na sehem nyingine elfu 30. Madereva wa magari hayo wamesema mpaka kuingia kenya wanatumia takribani laki saba na elfu ishirini (720,000) kuhonga police njiani mpaka kuingia kenya.
Source macho yangu
Candidate scope mbona kila jambo tunataka kumwagia lawama mkuu wa nchi?? MNYONGE MYONGENI HAKI YAKE MPENI,kunya anye bata akinya kuku kaharisha,hebu punguzeni chuki kwa mkulu wa nchitu, MFUMILE KUTALI NJILE KUTALI. Safari yakuikomboa tz bado ndefu.
Pinda kishaongea mengi sana hadi kulia but hakuna yanayotekelezwa.
Candidate scope mbona kila jambo tunataka kumwagia lawama mkuu wa nchi?? MNYONGE MYONGENI HAKI YAKE MPENI,kunya anye bata akinya kuku kaharisha,hebu punguzeni chuki kwa mkulu wa nchitu, MFUMILE KUTALI NJILE KUTALI. Safari yakuikomboa tz bado ndefu.
Leo ni mara yangu ya pili kukusikia mh Pinda ukizungumzia maswala yanayoigusa jamii,
Kwa kifupi leo nimefarijika sana kumwona waziri mkuu wetu akiwa anawaonya na kuwakemea viongozi ambao wanatumia pesa za walipa kodi kuingia kwenye misafara mingi pale wanapoona kuna kiongozi mkubwa serikalini amekuja kwenye maeneo yanayowazunguka, kwa nchi kama Tanzania imekuwa kama desturi ya viongozi waandamizi wa wilaya na mikioa kuingia kwenye misafara isiyowahusu huku wakiwa wanatumia vibaya pesa za walipa kodi kwenye kujipangia marupurupu ya per day pamoja na mafuta siku akija kiongozi mkubwa serikalini.
Kiukweli Mh Pinda kwa nafsi yangu umenifurahisha ulipowaambia wawatembelee watu kwa muda wao bali sio kusubiri upite wewe kama waziri mkuu ndio wakufuate nyuma kwenye msafara wako, kwa hili Pinda nakupa big up sana!!!
MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
Huyo hana jipya,ni lini aliwai kusema jambo likatekelezwa?kumbuka muhimu ni utekelezaji siyo kuongea hata sera nyingi (japo si zote) za ccm ukizisoma utaona tunakaribia paradiso lakini hakuna utekelezaji!yapo mengi tu ambayo aliwai kutamka lakini mpaka leo hakuna lililofanyika.Leo ni mara yangu ya pili kukusikia mh Pinda ukizungumzia maswala yanayoigusa jamii, Kwa kifupi leo nimefarijika sana kumwona waziri mkuu wetu akiwa anawaonya na kuwakemea viongozi ambao wanatumia pesa za walipa kodi kuingia kwenye misafara mingi pale wanapoona kuna kiongozi mkubwa serikalini amekuja kwenye maeneo yanayowazunguka, kwa nchi kama Tanzania imekuwa kama desturi ya viongozi waandamizi wa wilaya na mikioa kuingia kwenye misafara isiyowahusu huku wakiwa wanatumia vibaya pesa za walipa kodi kwenye kujipangia marupurupu ya per day pamoja na mafuta siku akija kiongozi mkubwa serikalini.Kiukweli Mh Pinda kwa nafsi yangu umenifurahisha ulipowaambia wawatembelee watu kwa muda wao bali sio kusubiri upite wewe kama waziri mkuu ndio wakufuate nyuma kwenye msafara wako, kwa hili Pinda nakupa big up sana!!!MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
Anafaa kuwa rais 2015?
kaka wapi umeona mimi nimetoa maoni ktk mchango wangu kutaraji kufanyiwa au kusaidiwa kitu?soma mchango wangu kwa makini,acha kukurupuka.Siyo bure anaumwa huyu! Hawa ndiyo ambao walikuwa na ndoto za kuinua maisha binafsi kama wagombea wao wangepita sasa hasira zao ndo wanazionyesha humu. Kaka jitahidi mwenyewe, hakuna popote duniani unakopewa vya bure.
Tatizo kidogo la mtoto wa mkulima ni kuwa kuwa hafuatilii maagizo yake anatoa maagizo hamna utekelezaji.awe mkali afatlie maagizo yake.