Elimu za hapa na pale zinapoanza kuongelea swala la kitaalamu,eti Elnino yaja kabisa!!!
Elnino imeanza Toka mwezi wa tano, na October - December (OND) ndo kilele chake
Hata hii hali tunayopitia ni Elnino,elewa kuwa kwa kawaida Joto la bahari Pacific linapopanda kuliko kiwango chake cha kawaida ,Hali hii huathiri mifumo ya Hali ya hewa duniani kote,na Moja ya matokeo yake kwa sisi afrika mashariki ni mvua kubwa kupitia kiasi,lakini hii sio kanuni ,Kuna wakati inaweza kuwa ukame kama tunavyo shuhudia kwa sasa.