Kwa hili IGP ukinyamaza nitakushangaa sana!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,860
Reaction score
50,645
Kama IGP unataka tuamini kwamba Polisi si sehemu ya Chama Cha Mapinduzi, kwa Jambo hili la Vijana wa CCM kung'oa Bendera za CHADEMA mbele ya Askari Polisi mjini Mwanza, ni lazima walifanya kitendo hicho ambao wanaonekana kwenye picha wachukuliwe hatua za kisheria na Askari aliyekuwa kwenye eneo la Tukio naye atoe maelezo ni kwa nini alikuwa anaangalia bila ya kuchukua hatua wakati Jinai inatendeka mbele yake!!

1445680675590.jpg
 
Halafu unamsikia IGP anahubiri amani! This is not fair!
 
Ni ukweli unaouma lkn hao jamaa wala askari hatafanywa lolote.

Si ajabu alikuwa analinda vijana wasifanyiwe fujo wanapotekeleza agizo la chama.
 
Huyo ni askari wa usalama wa barabarani... Sina imani kama anashughulika na hilo tukio

pili: Hizo ni bendera tu,, ila kiongozi yuko mioyoni mwa watu... Hayo mengine yote ni maigizo

tatu: Walioweka bendera za chadema ndio hao hao walilipwa na ccm na kuvalishwa nguo za ccm na kuziondoa bendera zao za chadema, vijana wamechoka sana kimaisha kwa hiyo ku-ply hiyo game ni kawaida tu.
 
hata mimi nimeaanza kuzichana kitaa kuanzia leo kesho mbezi yote itakuwa kijani tupu
 
Huyo ni askari wa usalama wa barabarani... Sina imani kama anashughulika na hilo tukio

pili: Hizo ni bendera tu,, ila kiongozi yuko mioyoni mwa watu... Hayo mengine yote ni maigizo

tatu: Walioweka bendera za chadema ndio hao hao walilipwa na ccm na kuvalishwa nguo za ccm na kuziondoa bendera zao za chadema, vijana wamechoka sana kimaisha kwa hiyo ku-ply hiyo game ni kawaida tu.

Kaka umeongea vema sanaaa....ila nimebaki mdomo wazi kwa sasa....hivi cc Watanzania tupoje....!!?? Huu upumbavu au ujinga tuliopewa na CCM kwa kukosa Elimu bora ndo tufikie hapa....!!??
 
Labda IGP wa Ukawa na si huyu Mangu wa CCM.
 
Huyo ni askari wa usalama wa barabarani... Sina imani kama anashughulika na hilo tukio

pili: Hizo ni bendera tu,, ila kiongozi yuko mioyoni mwa watu... Hayo mengine yote ni maigizo

tatu: Walioweka bendera za chadema ndio hao hao walilipwa na ccm na kuvalishwa nguo za ccm na kuziondoa bendera zao za chadema, vijana wamechoka sana kimaisha kwa hiyo ku-ply hiyo game ni kawaida tu.

Askari wa barabarani kwani hao watu wapo choon si barabarani.au wewe unajua barabara ni magari tu?
 
kuna mdau mmoja alisema hivi "kuna taarifa za ndani kabisa jikoni
nimezipata pitia usalama mmoja
mstaafu aliitwa kwenye kikao jana
usiku sehemu hapa makao makuu ya tz
yetu kuna mipango ya goli la mkono
wameiandaa kwani wanakiri kwenye
kikao uwezekano wa kushinda haupo
kabisa sasa lazima watumie goli la
mkono iko hivi wamepanga kutumia
pesa bandia kugawa siku ya jumamosi
na pia watawagawia kura tayari
zilizopigwa kwa magufuli ili waendapo
kupiga kura watumbukize na zile
wayakazopewa kituoni wamepanga
kuwatumia hasa wamama ambao
wanauwezo wa kuficha hata kweny
sindilia pia ukipewa hiyo pesa ukienda
dukani haiwezi tumika tena
wamepanga sana kutumia hasa vijijini
na hizo pesa watanunua mawakala wa
ukawa hata kwa million 10 na
kuendelea kumbe ni bandia pia mbinu
nyingine watawatumia wadada na
baadhi ya vijana kushusha bendera za
chadema na ukawa kwa nguvu ili
ikitokea vurugu wote mnakamatwa na
kupelekwa sero bila dhamana nia
nikupunguza kura za vijana ambao ni
ukawa pia wanawake watavaa nguo
nusu uchi na kupita kwany vijiwe vya
chadema na ukawa nia na madhumuni
ni kuwauzia kesi kwamba nimebakwa
na wote sero bila dhamana
ila kumbuka
itakula kwako nimepata taarifa hiz
sambaza kwa wote hasa vijijini ili
tuwe makini na hiz hujuma ccm
wamekamatwa pabay na ukawa
wanakiri hivi bila wizi wanajua
hawashindi kabisa toeni elimu kwa
watu na mawakala pia" sasa kwa haya yanayotokea naanza kumuamini huyu mdau japo nimesahau jina lake mdau huyu humu jukwaani.

Unambwela mbwela tuu km mfa maji
 
Kwan yule ni askari wa kutuliza fujo?, by the way nyie si makamanda mnaotaka kulinda kura sasa mmeshindwaje kuwadhibiti malofa wenzenu mnasubiria msaidie halafu mnakuja kujifanya makamanda ngangari eti tutalinda kura zetu hatuogopi ikiwa mnawashindwa walevi wa ccm. Mlitakiwa kuwatia adabu mbele ya huyo askari ili tuone ukamanda wenu.
 
Viongozi wa vyama wanatuhamasisha tuitunze na tuilinde amani lakini matendo yao wanaweza kufanya kuchochea upotevu wa amani kwa kiasi kikubwa .Viongozi wa vyama na vyama vyenu nyinyi ndio wa kwanza mnaoweza kutuhakikishia amani kwa kufanya uchaguzi wenye haki kwa kila mgombea.
 
Huyo ni askari wa usalama wa barabarani... Sina imani kama anashughulika na hilo tukio

pili: Hizo ni bendera tu,, ila kiongozi yuko mioyoni mwa watu... Hayo mengine yote ni maigizo

tatu: Walioweka bendera za chadema ndio hao hao walilipwa na ccm na kuvalishwa nguo za ccm na kuziondoa bendera zao za chadema, vijana wamechoka sana kimaisha kwa hiyo ku-ply hiyo game ni kawaida tu.

Ushahidi unao? Hapo direct inajulikana anayefanya kitendo ni shabiki wa CCM, Haiingii akilini wale mnaowaita wanywa viroba leo wawatumikie... Shame on you CCM..
 
Huyo ni askari wa usalama wa barabarani... Sina imani kama anashughulika na hilo tukio

pili: Hizo ni bendera tu,, ila kiongozi yuko mioyoni mwa watu... Hayo mengine yote ni maigizo

tatu: Walioweka bendera za chadema ndio hao hao walilipwa na ccm na kuvalishwa nguo za ccm na kuziondoa bendera zao za chadema, vijana wamechoka sana kimaisha kwa hiyo ku-ply hiyo game ni kawaida tu.

Akili zako kama za mbuzi, kwa mawazo yako apo juu, hata mama yako unaweza kumtongoza
 
Kama IGP unataka tuamini kwamba Polisi si sehemu ya Chama Cha Mapinduzi, kwa Jambo hili la Vijana wa CCM kung'oa Bendera za CHADEMA mbele ya Askari Polisi mjini Mwanza, ni lazima walifanya kitendo hicho ambao wanaonekana kwenye picha wachukuliwe hatua za kisheria na Askari aliyekuwa kwenye eneo la Tukio naye atoe maelezo ni kwa nini alikuwa anaangalia bila ya kuchukua hatua wakati Jinai inatendeka mbele yake!!

1445680675590.jpg
Sioni anang'oa bendera.wamebeba.mbona zimegawanywa kwa watu wengi.niliona UKAWA wamefunika libox bendera ya ccm mbona hulalamiki
 
Nyie mnashangaa vijana wa ccm kutoa bendera,huku dodoma gari ya polisi ndio ilitoa bendera za chadema ikaacha za ccm.wanatafuta kuvunja amani
 
Huyo ni askari wa usalama wa barabarani... Sina imani kama anashughulika na hilo tukio

pili: Hizo ni bendera tu,, ila kiongozi yuko mioyoni mwa watu... Hayo mengine yote ni maigizo

tatu: Walioweka bendera za chadema ndio hao hao walilipwa na ccm na kuvalishwa nguo za ccm na kuziondoa bendera zao za chadema, vijana wamechoka sana kimaisha kwa hiyo ku-ply hiyo game ni kawaida tu.

Hivi kumbe usalama wa barabarani ni magari toyo na baiskeli tu nilikuwa sijui.
 
Back
Top Bottom