Kwa hili IGP ukinyamaza nitakushangaa sana!

Kwa hili IGP ukinyamaza nitakushangaa sana!

Viongozi wa vyama wanatuhamasisha tuitunze na tuilinde amani lakini matendo yao wanaweza kufanya kuchochea upotevu wa amani kwa kiasi kikubwa .Viongozi wa vyama na vyama vyenu nyinyi ndio wa kwanza mnaoweza kutuhakikishia amani kwa kufanya uchaguzi wenye haki kwa kila mgombea.
Kulinda amani ni mpaka uhamisishwe.tumia akili usibweteke
 
Hizo bendera zinqchafua jiji la mwanza. Ndio sababu kuu ya kuzinyofoa na kutupa chooni
 
kuna mdau mmoja alisema hivi "kuna taarifa za ndani kabisa jikoni
nimezipata pitia usalama mmoja
mstaafu aliitwa kwenye kikao jana
usiku sehemu hapa makao makuu ya tz
yetu kuna mipango ya goli la mkono
wameiandaa kwani wanakiri kwenye
kikao uwezekano wa kushinda haupo
kabisa sasa lazima watumie goli la
mkono iko hivi wamepanga kutumia
pesa bandia kugawa siku ya jumamosi
na pia watawagawia kura tayari
zilizopigwa kwa magufuli ili waendapo
kupiga kura watumbukize na zile
wayakazopewa kituoni wamepanga
kuwatumia hasa wamama ambao
wanauwezo wa kuficha hata kweny
sindilia pia ukipewa hiyo pesa ukienda
dukani haiwezi tumika tena
wamepanga sana kutumia hasa vijijini
na hizo pesa watanunua mawakala wa
ukawa hata kwa million 10 na
kuendelea kumbe ni bandia pia mbinu
nyingine watawatumia wadada na
baadhi ya vijana kushusha bendera za
chadema na ukawa kwa nguvu ili
ikitokea vurugu wote mnakamatwa na
kupelekwa sero bila dhamana nia
nikupunguza kura za vijana ambao ni
ukawa pia wanawake watavaa nguo
nusu uchi na kupita kwany vijiwe vya
chadema na ukawa nia na madhumuni
ni kuwauzia kesi kwamba nimebakwa
na wote sero bila dhamana
ila kumbuka
itakula kwako nimepata taarifa hiz
sambaza kwa wote hasa vijijini ili
tuwe makini na hiz hujuma ccm
wamekamatwa pabay na ukawa
wanakiri hivi bila wizi wanajua
hawashindi kabisa toeni elimu kwa
watu na mawakala pia" sasa kwa haya yanayotokea naanza kumuamini huyu mdau japo nimesahau jina lake mdau huyu humu jukwaani.

TCRA TCRA TCRA TCRA TCRA TCRA TCRA TCRA. Tafadhalini shughulikieni huyu Mchochezi anaedhani akijifungia stoor na ki Tecno chake anadhan anaweza kuwa salama kuchochea vurugu halafu akabaki salama.
 
yani washindwe kumfungia huyo aliyetoa hyo post ina zaidi ya wiki sasa au hawakuiona ndio wanaiona leo?

Kasome Sheria ya mtandao uone kama unaruhusiwa kuchochea ghasia kwa kigezo cha kuwa thread ina zaidi ya wiki? Watu kadhaa muda huu wako pabaya kwa ushabiki, kuwa Makini kijana acha uahabiki wa kijinga, likikufika ni wewe na nduguzo.yule wa Mwamunyange na yule alietoa taarifa za uongo kuhusu utetez wa yule kijana wate kura zao zimepotea
 
Bendera zenye rangi nyekundu zipigwe marukufu KABISA
 
Mkuu Jonah una uhakika na unachoongea jamani kuna sheria ya mtandao...ohooo!!!
 
Amani ni Muhimu kwako na Ndugu na Jamaa zako, ushabiki wa kisiasa usikufanye ukapuuza umuhimu wake

Hakuna amani bila haki ndugu...hizo hekaya za kutumia propaganda ya kudumisha amani bila kutenda zina mwisho, na mwisho wenyewe siyo mzuri at all!

Hakuna asiyejua umuhimu wa amani...but bila HAKI chochote chaweza kutokea. Sishabikii, ila naongelea reality. Unafikiri hayo mataifa ambayo yaliingia kwenye machafuko mambo yalianzaje?
 
Mbwa hao wanalalaga na njaa mwaka mzima watoto wao tabu wanakuja kudanganywa kwa vijiela vya siku moja kutoa bendera na kuleta fujo..mkishinda sala za wananchi zitalipwa duniani
 
Hakuna amani bila haki ndugu...hizo hekaya za kutumia propaganda ya kudumisha amani bila kutenda zina mwisho, na mwisho wenyewe siyo mzuri at all!

Hakuna asiyejua umuhimu wa amani...but bila HAKI chochote chaweza kutokea. Sishabikii, ila naongelea reality. Unafikiri hayo mataifa ambayo yaliingia kwenye machafuko mambo yalianzaje?

Acha kukariri, sio kweli kuwa mataifa yote yaliyovurugwa chanzo ni haki, vurugu zingine chanzo ni vita vya kuwania madaraka baina ya Miamba, wewe unajua chanzo cha vurugu Sudan Kusini, unajua chanzo cha kupinduliwa Siad Bare wa Somalia 1991? Na mbaya zaid zikitokea fujo unaumiza jirani yako nnae share nae shida, we unadhani pakitokea wizi wa kura Bumbuli wataenda kuchoma Nyumba ya January pale Masaki? Tunasisitiza amani kwa kuwa tunajua zinaathiri zaid mlalahoi mwenzako, kina Kagame ndio walihusika na Mauaji ya Kimbari umeona hata kovu la mauaji si yeye na familia yake wana enjoy matokeo ya vita? Amani haina substitute asikudanganye mtu
 
Ndiyo maana nimekwambia acheni propaganda...kama mnataka amani tendeni HAKI!
 
Ndiyo maana nimekwambia acheni propaganda...kama mnataka amani tendeni HAKI!

Na haki isipotendeka kapambane na aliedhulumu sio jirani yako mwny hisia tofauti za kisiasa na zako lakin hahusiki na hiyo dhuluma unayodai.
 
Huyo ni askari wa usalama wa barabarani... Sina imani kama anashughulika na hilo tukio

pili: Hizo ni bendera tu,, ila kiongozi yuko mioyoni mwa watu... Hayo mengine yote ni maigizo

tatu: Walioweka bendera za chadema ndio hao hao walilipwa na ccm na kuvalishwa nguo za ccm na kuziondoa bendera zao za chadema, vijana wamechoka sana kimaisha kwa hiyo ku-ply hiyo game ni kawaida tu.[/QUO

Unamaana Huyo askar akupitia mafunzo ya kijesh alipitia mafunzo ya gereji.??!!
 
Back
Top Bottom