Kwa hili, Hongera Mh. Rais Dr Jakaya Kikwete!

...mi nakupongeza Jk kwa kuwa rubani wa uchumi unaopaaaaaaa,sijui ni-lini utatua chini, huku tunako ishi Watanganyika?...
 
Kama wale wa kumpongeza Jk wamelipwa posho kinyume chake must be true wanaoona hakuna jema alilofanya na wao wamelipwa posho kwa kazi hiyo kwani hakuna binadamu asiye na jema hata moja

Jema amekufanyia wewe kwa kukulipa posho,sio mimi niliyeongezewa bei za bidhaa na ugumu wa maisha.
 
kweli kabisa tumpongeze na kumpa ushirikiano haSa kwa kutoa uhuru wa kuongea,kutoa maoni japo kuna baadhi wanatumia uhuru huo kuropoka
edit:

uhuru kama waliopewa wakina Absalom Kibanda? Hillarious!
 
JK amefanya vibaya kama rais mwaka huu, kila mwenye macho ameona at least vipofu wamesikia au kuhisi joto lake. Nitamwombea afanye vyema mwaka ujao lakini so far nina cha kumkosoa na kumsaidia na si kumpongeza!
 
mi nina wasiwasi utakuwa ndo wewe JK umeiandika hii thread kwa sababu mtanzania wa kawaida haoni faida yoyote wala hakuna alichokipata tangu JK ameingia madarakani yaani kila kitu ovyo ovyo, Tanzania ya leo imekuwa kama changudoa kila mwanaume analala nayo

WE KWELI nitonye!!!
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
hata mi mbn nali2mikia taifa!maafande,manec,walimu n.k wote wanali2mikia taifa!tn walimu nawapongeza kwn wanali2mikia taifa ktk mazingira magumu + kutolipwa staili zao!MUNGU wabarik walimu,MUNGU ibarik Tanzania
 
Mimi binafsi nampongea JK!! Ingekuwa Dr. WPS na hali kama hii pangekuwa hapatoshi hapa TZ. Maana kwa kukurupuka yule mzee!! Hajambo kwa hilo.
 
Ni vema kumpongeza mtu siku hizi za mwisho wa mwaka! Tukumbuke jukumu la kujenga uchumi ni letu sote, tushirikiane kwa pamoja. Ingawa kwa mtizamo wangu kuna waandamizi wa serikali ambao wametumia vibaya madaraka yao Mfano polisi AR, huyu jamaa wa PPF, RC na Polisi Mbeya, n.k. hizo hali zinaaonesha ni utashi wa kiongozi, rais hawezi kuwapo kila mahali kusimamia kila kitu, hivyo kila mmoja wetu anajukumu!!!
 
Jamani tumpe ushirikiano Jk miaka minne si michache hasara itakula kwetu .... tusidanganyane bado ataendelea kuwa Rais wetu na mtoa maamuzi wa mwisho kwa mustakabali wa nchi yetu.

Nisaidie ushirikiano kama upi mkuu ambao unataka tumpe Jk?
 
Great Thinkers,
Pamoja na ugumu wa maisha kwa watanzania, lakini hatuna budi kumpongeza Mh. Rais kwani kalitumikia taifa ktk mwaka 2011 kwa juhudi zake zote ktk kuhakikisha uchumi unaimarika na pia kudumisha amani. Japokuwa naamini kuna mengi alipaswa kuyafanya, nadhani tumtie moyo na kushirikiana naye ktk kujenga uchumi wetu, kwani yeye peke yake bila sisi wananchi kushirikiana ktk nyanja zote nchi haiwezi kuondokana na mambo yote ambayo tunahisi ni kikwazo ktk kufikia maisha yaliyo bora kwa kila mtanzania. Wewe kama kijana, mzee, mama, dada, au uwe ktk uongozi wa kifamilia (baba au mama au kaka) au uongozi wa kampuni, nadhani tunapenda japo kupongezwa hata kama hatujaweza kufikia lengo tulilojiwekea. Naomba tuungane ktk hili!
Mungu ibariki JF!
Mungu wabariki wana JF!
Great Thinkers daima mtadumu!!
Wenu Ng'wanakidiku!
30.12.2011
00:30 am
Ningeungana nawe kama ungeshauri apumzishwe kwa lazima.
 
Bora nijipongeze mwenyewe kwa kuvumilia uozo wa serikali ya ccm, maana kwa jinsi mambo yanavyokwenda mtu akiwa na kifua kidogo atakufa BP!
 
Great Thinkers,
Pamoja na ugumu wa maisha kwa watanzania, lakini hatuna budi kumpongeza Mh. Rais kwani kalitumikia taifa ktk mwaka 2011 kwa juhudi zake zote ktk kuhakikisha uchumi unaimarika na pia kudumisha amani. Japokuwa naamini kuna mengi alipaswa kuyafanya, nadhani tumtie moyo na kushirikiana naye ktk kujenga uchumi wetu, kwani yeye peke yake bila sisi wananchi kushirikiana ktk nyanja zote nchi haiwezi kuondokana na mambo yote ambayo tunahisi ni kikwazo ktk kufikia maisha yaliyo bora kwa kila mtanzania. Wewe kama kijana, mzee, mama, dada, au uwe ktk uongozi wa kifamilia (baba au mama au kaka) au uongozi wa kampuni, nadhani tunapenda japo kupongezwa hata kama hatujaweza kufikia lengo tulilojiwekea. Naomba tuungane ktk hili!
Mungu ibariki JF!
Mungu wabariki wana JF!
Great Thinkers daima mtadumu!!
Wenu Ng'wanakidiku!
30.12.2011
00:30 am
Oh! real????? uchumi wa nchi ipi umeimarika? Wewe unaishi Tz. kweli au upo nje ya Tz. hata kwa wale waliopo nje wanafahamu jinsi hali ilivyo mbaya gharama za maisha zimepanda kupita maelezo sasa sijui wewe mwenzetu unaishi wapi au upo ikulu kwa hivi huoni yanayoendelea kwa watanzania wa hali ya kati na chini. Ni hivi JK hajatusaidia period! kanisemelee
 
tumpongeze kwa lipi? Vitu kupanda bei, umasikini kuzidi na yeye kubaki anashangaa hata hajui kwanini watanzania ni maskini?
Maisha ya mtanzania kuzidi kuwa magumu while the national cake is enjoyed by the minority while the majority hawana kitu?
Au tumpongeze kwa kuwalinda washkaji zake waliokula ela ya rada na epa?
Kipi tumpongeze alicho kifanya.
Hivi unaweza mpongeza mtu anaye tumia asilimia 80% ya pato la taifa katika mambo yasiyo kuwa ya msingi kusafir, na kulipana marupu rupu?
Mpongeze wewe labda katika fungu la epa kuna ulicho ambulia
 
Ni kweli maisha ni magumu sana. Sijawahi kufaidika na mfumo uliopo wa CCM, na si mwana CCM, na sifagilii mafisadi. Ila ktk hili, Rais kama binadaam wengine, hatuna budi japo kusema hongera Mh. Rais, na kwa yote tushiriki pamoja ktk kujenga uchumi wetu, mfano ukiwa unategea kazini kwako mnaweza jikuta kampuni inakufa, hivyo tuwe na collective effort kila pahala pa kazi ndiyo kumuunga mkono Rais.
 
Great Thinkers,
Pamoja na ugumu wa maisha kwa watanzania, lakini hatuna budi kumpongeza Mh. Rais kwani kalitumikia taifa ktk mwaka 2011 kwa juhudi zake zote ktk kuhakikisha uchumi unaimarika na pia kudumisha amani. Japokuwa naamini kuna mengi alipaswa kuyafanya, nadhani tumtie moyo na kushirikiana naye ktk kujenga uchumi wetu, kwani yeye peke yake bila sisi wananchi kushirikiana ktk nyanja zote nchi haiwezi kuondokana na mambo yote ambayo tunahisi ni kikwazo ktk kufikia maisha yaliyo bora kwa kila mtanzania. Wewe kama kijana, mzee, mama, dada, au uwe ktk uongozi wa kifamilia (baba au mama au kaka) au uongozi wa kampuni, nadhani tunapenda japo kupongezwa hata kama hatujaweza kufikia lengo tulilojiwekea. Naomba tuungane ktk hili!
Mungu ibariki JF!
Mungu wabariki wana JF!
Great Thinkers daima mtadumu!!
Wenu Ng'wanakidiku!
30.12.2011
00:30 am

Duh!!!! Kazi kweli kweli!!
 
Back
Top Bottom