Kwa hili hakika nimejifunza

Kwa hili hakika nimejifunza

Hellow jf,baada ya yule man alonipa ujauzito kunilazimisha nitoe na mie kukataa hatimaye kanitext eti yeye alishanambia kuwa ana mke ambaye ndo huyo msichana alonambia kua yuko nae kwa hiyo kuhusu hii mimba ntajua mwenyewe yeye hausiki na lolote kama mtoto atakuja kumtafuta daah kiukweli imeniuma sana but mejifunza kutokana na makosaa.
Uzuri ni kuwa alikueleza mapema kuwa ana mtu wake na wewe ukaridhika, kubali matokeo maisha yaendelee. Huyo mtoto atakayezaliwa ndio faraja yako ya baadae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom