Kwa hili hakika nimejifunza

Kwa hili hakika nimejifunza

Mwanamke uliyezaa naye ukimuacha hata km ikipita miaka 3 km hajaolewa kurudiana ni rahic sana na hata km akiwa ameolewa kula mzigo ni rahic sana.
Km unataka kuoa oa mwanamke ambaye hajawai kuzaa. Au mume wake awe amekufa vinginevyo utaishi kwa presha sana.
Ila kifupi single mothers wanaojitambua ni wachache sana kati ya 10 wawili ndio wanaojitambua
Nmekusoma mkuu,hapo umenena vyema
 
Matatizo mengine hata shetani hausiki.. Inakuaje kufanya sexy pasipo kutumia zana wakati hata kuhesabu cku zako huwezi!


Pole mama kijacho..🙁
 
Sasa hiyo ya kwanza bado na ya pili, tatu na mtondogoo hapa ndo nashangaaga wanawake upo kwenye siku mbaya lakini bado unaachia kitobo hamjuagi kuna condom
but hiyo ni dawa yenu mimba tuuu basi hakuna dawa nyingine
Wengi hawajajua hiyo formation ya kututegea offside trick (mimba )mara nyingi inabuma.
 
Ndio maana nimesema wengi wao najua sio wote na nafsi yako inajua kilichotokea maybe ugeni wa mambo hayo au game ya ghafla yote yapo mdogo wangu.
Almuhimu umesema umejifunza lea mimba na usirubunike kuitoa ni changamoto za maisha nalo litapita pole sana.
Ok ahsantee
 
Ngoja nije niwahi fursa hiyo ya kuongeza njia huwa mnajoto nzuri Sana!
 
Pole sana lakini tunza mimba/mwanao. Hiyo njemba wala usiiwaze lakini ipo siku itakuja inatia huruma uh shetani alinipitia tu nisamehe mama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom