Vladimirr
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 556
- 586
Hakunambia kama ana mke mie alichonambia mwanzon alidai kwamba kuna msichana yuko nae ila yupo mkoa mwingine but baada ya me kua mjamzito ndo akadai kwamba huyo msichana walishatambulishana na kwao na sometime anadai ni mkewe.
hukuwai kupajua nyumbani kweke hapo kabla au unaogopa timbwili la mke mwenzio