Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Hellow jf,baada ya yule man alonipa ujauzito kunilazimisha nitoe na mie kukataa hatimaye kanitext eti yeye alishanambia kuwa ana mke ambaye ndo huyo msichana alonambia kua yuko nae kwa hiyo kuhusu hii mimba ntajua mwenyewe yeye hausiki na lolote kama mtoto atakuja kumtafuta daah kiukweli imeniuma sana but mejifunza kutokana na makosaa.