Kwa Hili Elimu naombeni..

Kwa Hili Elimu naombeni..

ndetichia

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
27,769
Reaction score
6,590
Habari zenu wakuu vimmshindaje?

Naombeni mnisaidie hivi hash tag ni kwa ajili ya nini maana hii @ hutumika kwa kutag jina la memba iwe JF, FB au Twitter sasa # nayo kule twitter inatag nini hasa?

Thanks in advance

#WeekendNjema
 
HashTag ni almost kama topic, ili watu mnao tweet kuhusu kitu kimoja mweze kujuana
 
Back
Top Bottom