Kwa hili chadema hawana lawama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili chadema hawana lawama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JUST, Mar 17, 2011.

 1. JUST

  JUST JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33

  "Under democracy one party always devotes its chief energies to trying to prove that the other party is unfit to rule - and both commonly succeed, and are right." ~H.L. Mencken, 1956


  Hii ndiyo siasa kuonyesha anayeongoza kashindwa na si kuchafuana.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mbona hata Makamba anajua hilo mkuu!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Sio lazima kila anachosema mtu ni sahihi na cha kunukuu kama kilivyo. Wakati mwingine tuangalie na mazingira ya kile kilichotamkwa.

  "Under democracy one party always devotes its chief energies to trying to prove that the other party is unfit to rule - and both commonly succeed, and are right." ~H.L. Mencken, 1956

  Jaribu kufafanua hapo uone tofauti ya mazingira ninayozungumzia
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nature of Multiparty politics always ni Competative, kila chama kina fanya juu chini ktk kubain mapungufu ya mwenzake na kuyafanyia kazi, kwa hapa Bongo land kuna mapungufu mengi, chadema wako sahihi, tena waongeze jitihada zaidi!
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Chadema v/s (CCM+CUF+NCCR+UDP+TADEA+NRA+TLP+MAFISADI)

  nani wanachafua wenzao?
   
Loading...