Kwa hili CCM wamekosa muelekeo, wanafanya kazi za CHADEMA.

Chal

Senior Member
Oct 7, 2010
128
52
Mkutano wa CCM uliofanyika mbeya umeonesha dhahiri kuwa sasa chama hiki cha magamba kimekosa muelekeo. Ninazo sababu za kusemahivyo,
i. Kitendo cha makada wa CCM kusimama jukwaani na kuanza kuwasuta makada wenzao ni kuonyesha dhahiri kuwa sasa hakuwa asubuhi ndani ya chama hicho

ii. Makada hao wa ccm hususani Samwel Sitta kukosoa mikataba mibovu iliyoingiwa na serikali anayoiunda ni kutaka kutuchezea kiini macho.

My take.
Sio sahihi kwa makada wa ccm kujisafisha jukwaani kwa kukosoa utendaji wa serikali yao. Hakuna namna hii kazi inapaswa kufanywa na upinzani hvyo ni dhahiri sasa ccm imebanwa na wanaweweseka.
 
Back
Top Bottom