Kwa hiki walichofanya CCM Iringa siku ya jana ni udhalilishaji,na ni aibu kwa chama kikubwa kama CCM

Ni mpumbav tu ndiye atakaeona kuwa mleta hana hoja lakini hii tabia chafu ya kulazimisha watu kwenda kwenye mkutano ni ccm pekee waliojaaliwa nayo kama hutaki hulazimishwi, ni Mara ngapi watumishi wamekuwa wakilalamika hadi kuvishwa sare za kijani na kuhushuria mikutano ya chama? watu wanatishiwa hadi kazi!
Tabia ya kijima sana ya enzi za chama kimoja. Chama kinalazimisha kupendwa mpaka kinanunua wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani na wabunge.
 
Back
Top Bottom