Kwa hiki nilichomfanyia Salha ana haki ya kunitendea haya

Ukiwa mchafu ,utaacha kuoga ???.au kwakua wee Mdhambi ndo ujitenge mbali na Muumba wako??

Kama jibu ni hapana, basi hiyo haiondoi ukweli kua

NARUDIA TENA WANAWAKE WACHA MUNGU NDIO WANAWAKE WA KUOA.


nmewala sana wanawake yaan saaaana wa kila aina, waloolewa wasoolewa, warefu, wafupi,wembamba, wanene,, wasomi kwa wasokua wasomi, wenye vipato ,wategemezi, wake za watu n.k..

Yaan nmewala sanaaaaaa sanaaaaaaa



LAKN HAO WOTE NLOWALA, NI WALE NLOWAELEZEA KWENYE ULE UZI KAMA AINA YA WANAWAKE WASOFAA KUOLEWA.


Wewe umeolewa, nikutongoze, unipanulie mapaja, Unaakili??????. Unamwogopa Muumba wako????.
Very very ironic.

Muumba yupo one sided?

Only to be feared by females?

So you are actually saying the women you slept with are lesser human beings who should be cast aside since they do not meet the requirements for marriage?

They are the devil's agents and therefore you had a right to sleep with them because they are sinners and you, dear one, are among the chosen ones?

Damn.

Judgement Day is going to be very interesting.
 
Very very ironic.

Muumba yupo one sided?

Only to be feared by females?

So you are actually saying the women you slept with are lesser human beings who should be cast aside since they do not meet the requirements for marriage?

They are the devil's agents and therefore you had a right to sleep with them because they are sinners and you, dear one, are among the chosen ones?

Damn.

Judgement Day is going to be very interesting.
Nakuandikia gazeti

Sikiliza Bidada, Hata Mwanamke Aolewe ataendelea kutongozwa .


NARUDIA, USIPOKUA NA HOFU NA MUNGU , Utaliwa kimasihara na kila aina ya Mwanaume.


Kwa kusema ivo , ikiwa anayetongozwa ni mmoja, watongozaji ni wengi, ninan hapa anayepaswa kua karibu na Mungu wake sana kwa kuzingatia ushawishi ?.

Sisemi kwamba, anaepaswa Kua mcha Mungu ni Mwanamke tu

Mume wako anaweza kua mcha Mungu kwelikweli na Asitongoze mwanamke yoyote , nawewe ukawa mcha Mungu, lkn bado ukaendelea kutongozwa nakusumbuliwa kila kukicha.... Unadhan kati ya hawa ninani anayehitajika kua na ukaribu mkubwa wakiroho na Mungu wake???.


Yaan toka Uumbaji, Wanaume wameonekana ni viumbe wa kua na wanawake wengi... Sasa niwewe mwanamke unayetakiwa Kuutumikisha ubongo wako kisawasawa., kinyume na hapo, Utahesabika kama mwanamke Mpumbavu aliyeamua kumuongezea mwanaume idadi ya wanawake alowala.


Nikuulize tu, Kati ya mwanaume malaya..na mwanamke malaya...hawa wote wakaamua kuacha tabia zao.. Ni nani kati yao, ataaminika sanaaa kiasi cha kupata Mume au mke kirahisi????.


NARUDIA KUWASHAURI VIJANA, AMBAO HAMJAOA, TAFUTENI WANAWAKE WACHA WA MUNGU.

NILISEMA, HAIJALISHI WEWE MWANAUME NI MLEVI, MALAYA, N.K, ILA KAMA UNATAKA KUOA, NENDA HUKO NJE, CHAGUA MWANAMKE MCHA MUNGU NA MWENYE HOFU YA MUNGU.

Mwanamke ambaye atakupa watoto wenyr hofu ya Mungu...

KWA UFUPI WANAWAKE WACHA MUNGU. NI WANYENYEKEVU KWA WANAUME, WAAMINIFU, POPOTE UWAPO NDAN AU NJE UNA AMANI, NI WANAWAKE WANAOKUPA SIFA MBELE ZA WATU KUANZIA UONGEAJI, UVAAJI, MIENENDO YAO.


Shiiiiit, unaoa mwanamke anatoroka au anatoka kazin, anaenda kuoshwa miguuu kwa hutu tujumaa, tunamchezeaaa weee, tunamshikaa wee, mwanamke kavaaa mapaja njee, , anarudi nyumban anakuita Mume... Broooo hamna kila kitu hapoooo yaan hamna kila kitu .



Hamna mkeeeee ,humo kuna mwanamke tu ila sio Mke, na kwa mantiki hiyo ,UTATAABIKA SANA.

Asubuh njema mkuu.
 
Ngoja namm niweke hili hapa , ambayo mwisho wa siku likafanya niandike uzi wa umuhim wa kumsifia mwanamke wako.


Ni Mwanadada ana watoto, Mkuu wangu wa Kitengo kazin, Anaelimu kubwa, Uchumi wake binafsi na maisha makubwa ( niseme ni moja ya wanake wanaoweza kua na jeuri ya Pesa).

Huyi mwanadada nilipoanza kazi hapo kwao, awali nilivutika na uzuri wake wa Sura, Umbo ,Mavazi, Sauti na na anavyotembea, lkn kutokana na yeye kua mkubwa kwangu kiumri na kimaisha ilinibidi niwe mpole lkn mwenye kujiamin ,mwisho wasiku nikaamua kumuheshimu.


Lkn hamna siku nilowahi kumuona anafuraha, sura yake kila siku ilijaa huzuni, ili jambo lilinifanya nihitajike kumjua sana.


Nkaamua kua wazi na kujenga mazoea naye , Nikawa namsifia mavazi yake, uchapaji wake kazi, uzuri wake wa sura, uzuri wa umbooo , nkawa namletea vizawadi zawadi vya kushukiza n.k


One day akaniita ofisin kwake, Aisee nilishtushwa na maelezo alonipa ( huko ndoani kuna mambo ya ajabu)

Kwa ufupi nimwanamke ambaye Mume wake hajawah kabisa kumuona kama ni mke mwema, kumsaliti, kumletea wanawake ndani ya nyumba, vipigo, matusi kila kukicha, kumtusi yeye ni mbaya, hajipendi, anavaa kishambaaa mara nne jamaa anamuacha ila baadae anajirudi n.k .. Nkm jamaa wake alimuaminisha kua Yeye kumuoa nikama nabahati tuu, coz yeye mwanamke ndio anayehangaikia hayo mahusiano.


Aiseee aliongea huku anatoa machozi, mwishoe akaniambia " G wewe ni mwanaume unayenifanya siku hizi najiamin mbele za watu, najiona mwanamke mzuri na mrembo , Sijui unanifanyia haya kwa dhumuni gan, kila siku naomba Mungu au wee( mimi) ndio Mwanaume kwaajili yake?" .



Aliongea meengi sana ,ambayo hatima yake ni kunikumbatia na kunipa Bonge la busu zito, kiukweli ni Mwanamke hot sana , yule mdada anajua kunyonya midomo", aisee mwanamke ni mzuri kitandani , ebwanaa eehh kuna mambo ananifanyia kwa bed kiasi kwamba Najikuta muda wote namuhitaji tu.


Baasi mambo yameenda weeee Ananipenda sanaa yaaan Sanaaaaaa, now days mpaka ananitumia shots za jamaa wake akimbembeleze ampe Mzigo , Demu anamkwepa, Mwanamke ndo kabisa yaan kalegeaaa kwangu, yupo huru hadi kuongea, anakuambia G nmekumis. G unaniridhisha...


Juzi ananiambia G ukija niacha utanisababishia maumivu makubwa niyoweza yahimili ningali Hai.




NB.. Anataka kuvunja ndoa yake , ila nmemkatalia , amekomaa tu anasema avunje ndoa hata kama sio kwa ajili yangu .




OYAA, WAPENDENI WAKE ZENU KAMA MNAVYOWAPENDA MAMA ZENU .. MWANAMKE NI MWANAMKE NI SAWA NA MTOTO MCHANGA.
Ndugu shetani, upo na huku pia
 
Back
Top Bottom