Kwa hii picha nay wa mitego hakukosea.

naomba niulize labda mimi sijui sana, mavazi ya msichana yanaweza kuwa ishara au dalili za mtu kuwa ana tabia njema? hao malaya wa mombasa wanaovaa hijabu kama waaumini wa kiislam(ninja sytle) ukiwaona barabarani si tunawaona wanatabia nzuri na ukasema wanafaa kuwa wake bora? hao ni maoni yangu tu lakini kwa upande wangu vyovyote mtu atakavyovaa bora ni mtu mzima 18+ ukizingatia alikuwa kwenye burudani hapo na usishangae watu walimfurahia sana. so kila mtu na maisha yake nafikiri au wadau mnasemaje? naomba mnieleweshe labda sielewi.

Akili za nape hiz.!
 
quote_icon.png
By fidelis zul zorander
Alafu hapo nyuma kama dizain flani pamelowa..au me mwenyewe ndo naona..?

NI KWELI. KITAALAMU HAPO KAVAA NEPI/PAMPASI NA IMESHALOWA BILA YEYE KUJUA KWA SABABU OVER SIZE ZILISHAPITA SIKU NYINGI ZIKAKAFUMUA MARINDA YA NYUMA UKIMSOGELEA KARIBU HARUFU YAKE MMMH .
 
quote_icon.png
By fidelis zul zorander
Alafu hapo nyuma kama dizain flani pamelowa..au me mwenyewe ndo naona..?

NI KWELI. KITAALAMU HAPO KAVAA NEPI/PAMPASI NA IMESHALOWA BILA YEYE KUJUA KWA SABABU OVER SIZE ZILISHAPITA SIKU NYINGI ZIKAKAFUMUA MARINDA YA NYUMA UKIMSOGELEA KARIBU HARUFU YAKE MMMH .

Hahaha..
 
Mavazi ni dalili ya au ishara za mtu ana tabia njema au la. huwezi ukatembea uchi halafu ushawishi watu una tabia njema. Nenda kwa machangu wote uone kama kuna anyevaa vizuri. Na ili asionekane kuwa anatabia mbaya, akitoka nyumbani atavaa vizuri na akifika eneo la kazini atabadilisha. sasa kama mtu anatoka nyumbani yupo uchi ujue huyo amekubuhu na mshipa wa aibu umekatika. Huwezi ukavaa nguo ambayo inaonyesha nguo zako za ndani mapaja wazi halafu utuambie mavazi eti mavazi sio ishu!!!!
 
Mkuu hayo mavazi ni addition tu, ingekuwa hakuna kashfa nyingine tungeweza kukubali mawazo yako. Usiwe kama Nape, tunataka hawa watu wabadilike.
 
Duuuh!laana.Hapo mimi ndo sielewi wanaume wengine wanatafuta vigezo gani kwa mke wa kumuoa,eti huyo naye anakaribia kuolewa...is it?of all the gals on earth huyu jamaa kaona huyundo anafaa kuwa mke?binti wa hivi ana thamani hata ya kumlipia trip moja tu ya Dubai?I am afraid I am primitive kama wake mnaowaoa ndo hao....aisee Anti Ezekiel ukipita mbele yangu na hivyo vinguo mi ntakumwagia bia,wambie na wenzako...NAY was 100% right...aaaarghhhh,kichefuchefu
Hapo ujue na anayetaka kumuoa naye ana tabia kama zake.
 
Back
Top Bottom