donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
HahahaBila shaka hao vijana ni "marinda-less"
HahahaBila shaka hao vijana ni "marinda-less"
Hahaha hahaKwa staili za uvaaji kama hizi
ccm haitatoka madarakani kamwe.
Ni konyo mkuu
Wakati UPI ?Acheni ushamba izo ni swaga zinazoendana na wakati
Kumbe Kuna mapunga now days chuga?Arachuga moja hiyo!
TawireDaaah kuna haja ya kurudisha somo la utamaduni kwa vijana wa dot.com
MubasharaNaona Vijana wapo live.
Usishangae mkuu ndio vijana wetu wa 2000sMdomo Wangu Umebaki Wazi!
Na Hao Mademu wanaona wana Bonge la Mabwana..Usishangae mkuu ndio vijana wetu wa 2000s
Ndo vile,kumbe daaahNa Hao Mademu wanaona wana Bonge la Mabwana..
Hiyo style yao ya kusimama tu, huwa najiuliza sana, utafikiri walipata ajali ya pikipiki
Wanaume wenyewe wako wachache bora waridhike tu na hao nusu wanaume. Mademu wenye wanaume sampuli hii ukimtongoza anakubali hata kabla hujamaliza kumuimbishaNa Hao Mademu wanaona wana Bonge la Mabwana..