Kwa heri CCM

Acheni kuchafua thread yangu. Kama hujisikii kunipongeza unaweza ukanipotezea tu. Isiwe tabu

haya wewe unayetaka kupongezwa.
hongera sana Mwita25
Nuru imekufikia
Umeonesha kukomaa kiakili, kwani akili yako imeanza kufikiri.
Good Job Mwita25
 
Yupo katika jukwaa la danganya toto kula kande mbichi

Sina haja ya kubishana na mtu ambaye hajui hata ofisi za makao makuu ya Chadema zilipo. We ni aina ya mavuvuzela wanaofuata mkumbo tu.
 
haya wewe unayetaka kupongezwa.
hongera sana Mwita25
Nuru imekufikia
Umeonesha kukomaa kiakili, kwani akili yako imeanza kufikiri.
Good Job Mwita25

Asante mkuu, hakuna kulala mpaka kieleweke. CCM and its avaricious leaders must be subverted if we are to retain the country's unity.
 
Tunakupa Probation period ya week mbili ndipo ukaribishwe rasmi.
 
Dedication kwa Mwita25;
Sikiliza KIGEUGEU by Jaguar
 
Acha mikwara hata ukimbiwa na mke wako ghafla lazima uchanganyikiwe kidogo natumaini utatulia tu baada ya Mwita25 kumwaga masiri yenu hapa jamvini. Mla mla leo bana mla jana kala nini!
Kamwaga siri gani? Who is Mwita25! The guy knowz nothing! Anabwabwaja tu..
 
Hata topical ni huyohuyo. Na hiyo atiwm 52 ni the sawe name but reversed! Angalia vzuri!

Mungu amewapa binadamu vichwa kwa ajili ya kufikiri. Lakini hakuna adhabu yoyote anayoitoa kwa watu wanaoamua kutumia masaburi kufikiri. Kwahiyo jimwagemwage tu na masaburi yako.
 
Mwita25.
Piipoozzz poowerr!! Mpaka kieleweke!
 
Yekhe Mura, this is truly a redemption for you! Admittedly you were a nuisance into posts contribution such that you always made my heart sink.
With your decision my weekend gonna be so nice..... nitaanza mapema kupta kilaji.
Congratulations.
 
Mwita25.
Piipoozzz poowerr!! Mpaka kieleweke!

Huna muda mrefu mkuu utakuwa upande wetu. Hivi slogan ya magamba ni ipi vile? Au bado mnaimba ''oooh Tanu yajenga nchi''
 
JK nasema siyo mtu mbaya, ni rais makini mwenye lengo la kusaidia watu, siyo fisadi, ila anaongoza genge la mafisadi!! na waongo wanaomdanganya kila kukicha (mfano issue ya ambulance, gari kuzimika, kuendesha siasa za kidini ilhali yeye alikemea siku ya Idd n.k), njia sahihi ni kuikana CCM kama alivyofanya Mwita, basi nchi hii itafika kwenye neema, ingawa elimu pia inatakiwa itolewe kwa wapiga kura juu ya buku tano na buku wanazopewa ili waikumbatie CCM
 
Huna muda mrefu mkuu utakuwa upande wetu. Hivi slogan ya magamba ni ipi vile? Au bado mnaimba ''oooh Tanu yajenga nchi''

Unaona sasa kumbe hata Ritz ujui msimamo wake!
Magamba na Magwanda wote wizi tu.
Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Unaona sasa kumbe hata Ritz ujui msimamo wake!
Magamba na Magwanda wote wizi tu.
Ha! Ha! Ha! Ha!

hacha uboya wewe! We Magamba unajifanya uvuguvugu wakati sisi tunajua kama wewe ni either wa baridi au wamoto..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…