Kwa heri CCM

Jamani mbona mi sielewi elewi hivi, nini kinaendelea kwani?
 
Wonderful!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni wewe Mwita25 ninaekujua mimi!....au wewe siye? Na kama ni wewe basi siwezi kubali kirahisirahisi kama kweli umeokoka kutoka magambani.
Nasubili hadi jumatatu asubuhi ndipo nihakikishe....maana usikute leo ni weekend sahizi uko somewhere unazigida bia hadi umepoteza fahamu.
 
Hii habari sidhani kama ni ya kweli, na hata kama ya kweli basi hata huko unakokwenda hautakuwa mwanachama mzuri, zaidi ya maslahi ambayo ulikuwa unayategemea kutoka unakotoka

una maakili sana.
 

nitarudi baadaye kidogo ukimaliza probation.
 
I doubt this boy is "psychologically orphaned"....no this is dream kama alivyosema aliamka usiku ndotoni.....let me try connect the dots....no this is a joke of a year


 
hatukutaki chadema,usijipendekeze.....nenda kaanzishe chama chako mwita and mama rhobi political party,umwage mapumba yako

Mkinikataa nitarajaribu hata kile chama cha wakulima. Lakini CCM mimi baaaaaasi
 
Mkinikataa nitarajaribu hata kile chama cha wakulima. Lakini CCM mimi baaaaaasi

Hee mwita real unatia huruma kidogo afu unachekesha kidogo yani kwa m2 anaekufaham and the way ur acting...m2 anashindwa awe na hisia gani juu yako. Pity au sympathy? Lol!
 
Mkuu Mwita25 mimi ntaamini hilo kama utajiondoa pia kwenye ile payroll. Wewe ni mtu mzima hope you know what I am saying.
 
yeah.... ushashiba vile vi fifty per day au??
 
Kafie mbali..hukuwa hata mmoja wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…