Kwa heri c.c.m udom

Mbona mtoa mada umewahisha sana habari hii?? Si ungesubiri matokeo yote yatoke!!??? Je ikiwa vyeo vilivyobaki vikachukuliwa na ccm heading ya habari yako bado itakuwa correct???
 
makole,ur stupid,jambo usilolijia ni kama usiku wa giza,Kessy upo sahh woate wagombea ni ccm na kamwe hakuna kijana wa chadema mwenye jeuri ya kupita hapo,woooote ccm hapo.kila la heri udom.
 
Hongeren japo sio vizur kugombea vioni kwa itikad ya vyama! Pale ni katba ya wanafunzi ndo inayoprevail na sio chama! So sikubliana na wanafunz kua na mtizamo wa kivyama vya siasa wakat wanawatafta viongz!

kama ccm wanatoa hadi tsh mil 13(RUCCO mwaka jana) na kuwasaidia wagombea (UDOM mwaka huu na mwaka jana) unategemea nini? ina ,aana kuwa CCM inawapandikiza wanachama wao kugombea kwa maslahi ya chama. Kimsingi, hili ni fundisho kuwa sasa Wazee wamechokwa, na itafika kipindi mtawaona wakulima pia wanaugomea mfumo ccm, wafanyabiashara, shule za msingi na sekondari. Ikifika huko ujue kuwa mfumo ccm unaondoka
 
TAARIFA ILIYOTOKA SI YA KWELI
ccm udom inasonga mbele na kwa taarifa yako wagombea wote wa uraisi ni ccm kwanzia federation mpka collage level

YAANI WEWE NDIYE J...HA WA MWISHO. lakini sikulaumu kwani mbinu iliyotumika imewafanya mlewe mkawapitisha kugombea. Mwaka jana si mlifanikiwa kufanya hivyo? Kliwachuja wana Gwanda mkawapitisha Magamba. Sisemi kwamba waislamu wote ni C.C.M au Chadema lakini kwa Uj...nga wenu mliwapitisha waislamu wengi kwa kujua kuwa mnawaondoa Chadema. Hili likizua tatizo jingine kubwa la hisia za UDINI. LAKINI MWAKA HUU MMEFUKA VIBAYA. Kwa taarifa yako kesho ni gwanda tu wanachuo wote
 
KUTOKA NDANI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA-(UDOM) Taarifa za ndani ya Chuo hicho zinasema kuwa Uongozi wa Serikali ya Wanafunzi Unakabidhiwa kwa Vijana wa Kazi-CHADEMA baada ya mipango ya kuwaengua wanachama wa CHADEMA Kugonga mwamba. Duru ya kwanza ya uchaguzi ilimalizika hapo jana tar 30/05/2012 baada ya vijana wa kazi kuchukua nafasi nyingi za ubunge mpaka ma-block leader. Muda mfupi ujao nafasi za U-rais, makamo wa rais na marais katika ngazi za vyuo yatatangazwa ambapo dalili zaonyesha wazi kuwa C.C.M waliopandikiza vijana wao sasa wanapumulia mashine. C.C.M kwa heri UDOM!

Wasomi kazeni buti nnafurahi vile mnawapeleka mbio hawa magamba,nyie wakilisheni kwa upande wenu sisi huku mtaani tutawakaba Kama kawaida.
 
si vizuri mkuu mbona kama kunaharufu ya udini hapa!

Hisia za UDINI zilianza mwaka jana pale UDOM ambapo kwa maelezo ya mjumbe mmoja wa TUME alikiri kuwa wao ndio wako responsible kwa hilo. Kwa maelezo yake alikiri kuwa walipewa agizo la kuondoa chembechembe ya Magwanda wote wanaogombea katika uchaguzi ule. Walitekeleza agizo kwa 100 perc. Naomba nirudie hapa; (WALIPEWA AGIZO) walichokosea ni kwamba, wakati wanatekeleza agizo, walisahau kwamba majina ya waliokuwa wagombea wa CHADEMA yalikuwa na uashiria wa dini ya kikristo( sijui kama wote walikuwa ni wakristo) Hivyo walipopigwa chini, wapo waliotafsiri hilo vibaya. Tume yenyewe ilikuja gundua kosa hilo baadae. Tatizo likaondoka kwenye uchama likahamia kwenye hisia kwamba waislamu walipewa upendeleo. Lakini, sijasema na siamini kuwa waislamu hawako upande wa Chadema. Nadhanio ni 50/50 kama ilivyo kwa dini nyingine. Ukitaka kujua kuwa udini haukupewa nafasi sana, Fuatilia duru za uchaguzi za mwaka huu ambapo hisia kubwa zilizojitokeza ni za U-inservice, ambapo hata hivyo zimepigwa chini , hasa katika college la elimu.
 
TAARIFA ILIYOTOKA SI YA KWELI
ccm udom inasonga mbele na kwa taarifa yako wagombea wote wa uraisi ni ccm kwanzia federation mpka collage level

Hivi unaakili?vyuo vikuu hakuna siasa lkn ninyi ndo mnasababisha watoto wa masikini wafukuzwe vyuoni kwasababu yawezekana wewe bila shaka ni mmoja wa maafisa usalama mliotumwa kuvuruga maana nzima ya uchaguzi.nyambafu wewe.
 
Taarifa kutoka UDOM Zinasema kuwa: Matokeo yametangazwa UDOM. Kuanzia Rais wa FEDERATION, MAKAMO WAKE, MARAIS WA COLLEGE, MABLOCK LEADERS WOTE wananyoosha vidole viwili hewani. Taarifa zinasema kuwa UDOM kwa sasa ni Liberated Zone. Jaramba kwa sasa ni kubwa hasa katika College la Education.

source: vyanzo vya UDOM
 
Someni watoto, wanaowatumia wamesoma!
Ndugu yangu huu mtizamo wako ni finyu. Kwa taarifa tu, hawa kina Mh.Zitto, Mnyika, Mbatia nk walianza kuwa-practice politics tangu chuoni na ndiyo maana wamejengeka kwa kiasi hiki. Vilevile katika maisha ya kawaida huwezi itupa siasa, ndiyo maana wote wenye umeishiwa stahiki na akili timamu tunapiga kura,,tunatoa maoni nk. Tunategemea intellectuals washiriki kikamilifu katika siasa maana wanafikiri maono mapana na uamuzi yakinifu. NB: Kigumu ni kuwa kiongozi wa kisiasa, ila wote wenye umeishiwa wa kuanzia miaka 18 na wenye akili timamu, tunaweza kuwa Wanasiasa bora bila pingamizi.
 
Hayawi Hayawi. C.C.M Hakunaga chao tena. Tayari UDOM imekuwa ni miongoni mwa LIBERATED ZONE Tanzania. Kuanzia rais wa FEDERATION, Hadi ngazi ya mwisho ya U-Block leaders. Vidole viwili hewani
 
Kupata uzoefu ktk kuongoza huanzia shule Nawapongeza wana M4C wa Udom
 
Siwaelewi ,nataka mnipe matokeo yakweli na kama vipi mthibitishe viongozi walioshinda ni waupande Gani, ila kama HAWA MAJAMBAZI WALIOIIBIA TANZANIA TANGU 1977 HAID SASA NAMAANISHA (SISIEMU) WATASHINDA KWA NAMNA YOYOTE ILE BASI VIJANA WANGU MNAOSOMA UDOM MMEWAANGUSHA WATANZANIA AMBAO MNATUMIA PESA ZAO KUSOMA, TAFADHALI KUWE CHACHU YA UKOMBOZI WA WATANZANIA AU MSHAPEWA PESA NA MAFISADI WALIOPANDIKIZWA HAPO UDOM? NTALIA SANA KAMA HAO WEZI WATASHINDA.
 
Back
Top Bottom