Kwa haya ya Mwanza, kuna bomu linatengenezwa

hata mie niko hapa nikiendelea na kuburudika na the big fiesta maana nona kundi kubwa la wasanii kama kinashilole; kwahiyo wengi wetu hapa tumekuja kuburudika tuu lakin kura zetu ni kwa Lowassa tuuuuuu..

haiwezakani mtu utoke kisesa mpaka mwanza mjini huku ukiacha shughuli zako maalumu nakufuata kitu ambacho hakimo kwenye mawanzo wala utashi wako eti tu umebebwa na Lori bule.
 
Jamaa msoma utenzi anatukana na high table wanacheka tu! Aibu kwa CCM kuendekeza matusi kama haya!
 
12079420_847267002060032_8136282891773562449_n.jpg

Ujinga,maradhi,Umaskini na Ufisadi!!CCM IMEISHIWA PUMZI!
 
Makatibu wa chama wa wilaya wametimiza maagizo.
 
Kuna kijana anaitwa bofu ametoa ushairi kwenye mkutano kachefua ile mbaya hata ham ya kumskia Magufuli alicho taka kusema haina maana.
 
kwa Akili yako mtoa uzi hivi hawa wote wanao onekana star tv unaweza kuwalipa? muache ujinga bana hata kama ni ushabiki tuweke pembeni bana!!!!
Kwa hiyo wametoa hela zao wakanunua hizo kofia na T-shirts?
 
Pokeeni mafuta, pesa lakini kura ni siri na maamuzi mmeshafanya vichwani MABADILIKO!!
 
Hbari za leo Great Thinkers. Leo nimebahatika kuwa jijini Mwanza katika pilika zangu za kutafuta kamuhogo. Bahati nzuri leo pia mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Mh. John Pombe Magufuli yupo jijini kwa ajili ya kujinadi.

Wakati na ingia jijini Mwanza nikitokea Musoma , nilipofika Kisesa kuingia mjini nimekutana na makundi ya akina mama wamejikusanya kwenye vituo wakisubiri usafiri wa kuelekea kwenye Rally. Shamrashamra hizo zilikua zina zidi kila ninaposogelea mjini kati. Nilipofika mzunguko wa Nyerere niliamua kupitia barbara ya Pamba ili nishike barabara ya Kenyata...kwenye kituo cha Mafuta pale mkabala na stendi ya kwenda Igombe zilikuwepo bodaboda kama mia hivi zote zinapeperusha bendera za ccm kuulizia nikaambiwa kila bodaboda ilikuwa inawekewa mafuta lita 5, halafu unalamba elfu5 na kuwekewa bendera .

Pale Nyamagana daladala zilikuwa zinashusha watu halafu wanawezeshwa kwa Tshirts na buku tano kila mmoja.. Ilipofika saa nane wakatoka humo kwa maandamano, ukiziangalia hizo sura ambazo wengi ni wakina mama wengi unajuwa wamesombwa kutoka vijijini. Kuuulizia pale jamaa wakasema mbona shule zote za sekondari za serikali wameamuriwa na afisa elimu kupeleka watoto kwenye mkutano wa JPM wakiwa na nguo za kirai

Maswali
Kama ccm ni chama kikongwe kwanini kinanunua watu kwenda kwenye mkutano wao?
Kwanini iwalazimishe wanafunzi kwenda kwenye mkutano wao wa kampeni?
Pamoja na jopo la wasanii 60 kwanini hawajiamini?
Sio kwamba hapo wnataka kuwin psychology ya watu kuwa wao bado wako popular?

kampeni za gharama zote hizo ni kwa manufaa ya nani?

ndugu acha tu.Mm huku Pwani mkuranga nlishuhudia UDA kama 50 hivi zimeleta watu.Alafu wamezificha mbali kwel il ionekane wameenda wenyewe.Na uwanja waliotumia ni mdogo il waonekane wako nyomi.Kwa kwel hawa jamaa wanatumia nguvu mno na gharama ktk mikutano yao
 
mtasema sana na wiki ijayo mnakaaaaaa uchiiii,, magufuli ikuluuu yuleeee
 
Mwambie huyo, sisi tumeshuhudia mikoa kibao tu watu wanawezeshwa tena ukawa ndo usiseme, kuwawezesha watu kuja kusikiliza sera sio tatizo

Sasa km ndo hivyo kuna haja gani ya kusema Magufuli amehutubia mikutano rasmi kadhaa na isiyo rasmi kadhaa kama wale ulowahutubia njiani ndo umewawezesha tena kuja kwny mkutano rasmi? Bure kabisa.
 
Hbari za leo Great Thinkers. Leo nimebahatika kuwa jijini Mwanza katika pilika zangu za kutafuta kamuhogo. Bahati nzuri leo pia mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Mh. John Pombe Magufuli yupo jijini kwa ajili ya kujinadi.

Wakati na ingia jijini Mwanza nikitokea Musoma , nilipofika Kisesa kuingia mjini nimekutana na makundi ya akina mama wamejikusanya kwenye vituo wakisubiri usafiri wa kuelekea kwenye Rally. Shamrashamra hizo zilikua zina zidi kila ninaposogelea mjini kati. Nilipofika mzunguko wa Nyerere niliamua kupitia barbara ya Pamba ili nishike barabara ya Kenyata...kwenye kituo cha Mafuta pale mkabala na stendi ya kwenda Igombe zilikuwepo bodaboda kama mia hivi zote zinapeperusha bendera za ccm kuulizia nikaambiwa kila bodaboda ilikuwa inawekewa mafuta lita 5, halafu unalamba elfu5 na kuwekewa bendera .

Pale Nyamagana daladala zilikuwa zinashusha watu halafu wanawezeshwa kwa Tshirts na buku tano kila mmoja.. Ilipofika saa nane wakatoka humo kwa maandamano, ukiziangalia hizo sura ambazo wengi ni wakina mama wengi unajuwa wamesombwa kutoka vijijini. Kuuulizia pale jamaa wakasema mbona shule zote za sekondari za serikali wameamuriwa na afisa elimu kupeleka watoto kwenye mkutano wa JPM wakiwa na nguo za kirai

Maswali
Kama ccm ni chama kikongwe kwanini kinanunua watu kwenda kwenye mkutano wao?
Kwanini iwalazimishe wanafunzi kwenda kwenye mkutano wao wa kampeni?
Pamoja na jopo la wasanii 60 kwanini hawajiamini?
Sio kwamba hapo wnataka kuwin psychology ya watu kuwa wao bado wako popular?

kampeni za gharama zote hizo ni kwa manufaa ya nani?

Kwani hao wanafunzi sio wapigaa kuraaa...mkuu leo pesa uliyolipwa hujaitendea haki kabisaa kama ukawa haita liangalia hili jambo basi ww nimmoja wapo utakayekatisha ndoto za lowassa..wakati wa mkutano wa lowassa watu walipew vilobaaa wakadeki lami lakin mkuu hujaliongelea hilooo
 
Back
Top Bottom