mtarimbo
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,529
- 3,919
Kuna matukio 3 ambayo yametokea hapa nchini nilitegemea mkuu wa. Nchi kama navyomjua angekua ametoa kajitamko au tamko ili wananchi tujue hatma yetu.
Kwanza ni zuio la Mwenyekiti wa usalama wa jiji ambalo ndio moyo wa nchi kuzuiwa kwenda kwenye nchi ambayo ni maswaiba wetu na serikali au mpambanaji yoyote anajua mchango wa hawa maswaiba kwenye maendeleo ya jamii yetu.
Pili ni mbunge mmoja kuandika barua Benki ya Dunia kuzuia mkopo ambao sijajua walizuia kwa kwa ushawishi wake au la ila kwenye vikao vya bunge ilifika pahala mbunge mwenzake anashauri mbunge huyo auwawe daaaaaah hatariii.
Tatu ni mwenyekiti mkubwa wa chama kikuu chenye wafuasi wengi na ushawishi mkubwa kutoa tamko kama serikali haitaridhia na kukaa na kufanya maridhiano ya kisiasa basi WASILAUMIWE KWA WATAKAYOAMUA KUFANYA😨😨😨
Ni yep hayo mim sijajua ila ukimya wa mkuuu unatisha kunaniniiii?