Kwa hawa wazee/mibabu tatizo lao nini!

Kwa hawa wazee/mibabu tatizo lao nini!

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
514
Reaction score
240
Vituko+baba+mkwe.jpg

vituko+baba+mkwe+2.jpg

Vitko+baba+mkwe+3.jpg
 
Hapo s babu na mjukuu hakuna madhara hapo!
 
mbona mnatuvuruga hivyo? gari mbovu huvutwa na gari nzima!!!!!!!!!!!!!!! au hamyajui hayo,ombeni kufika angalu mbele kidogo ndiyo mtapata utamau wa maisha. life begins at 40!!!!!!!!!!!!
 
vijana wa zamani hawataki kukubali muda wao ulishaisha au ndio wanatumia msemo ''wazeeka na vizuri vyaja"
 
hahaha ndio hivo........vibabu havitaki kukubaliana wakati wao ulishapita

Huku ni kumkufuru Mwenyezi Mungu. Babu wakati hauwezi kumpita hata siku moja ndio maana hata awe na miaka 70 uwezo wa kumpa mimba binti anao. Pale Mlimani City vibabu vya kizungu utakuta vimeambatana na mabinti wa haja lakini hakuna anae SHANGAA. Huyu mswahili mwenzetu ndio NONGWA.
 
  • Thanks
Reactions: FTP
Back
Top Bottom