madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
Salaam nyingi
Jana wakati nipo kituo cha mabasi walitokea wasichana watatu kimtazamo walikua wakielekea ofisini kila mmoja aliwatupia macho jinsi walivyopendeza na kutembea kwa mbwembwe
Ghafla walivyofika usawa wangu nikasikia mmoja amepiga yowe si kubwa la watu wote kusikia ila tuliokuwa karibu tulimsikia, wenzio wakauliza ''nini''?, yeye akajibu haaaa nimesahau kuvaa chupi mmoja akamwambia haa hilo ni la kukufanya kuhamaki rudi ukavae
Sasa najiuliza ni wangapi yameshawatokea halafu wapo mbali na home
Duniani kuna mengi