The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,177
- 102,938
Namuacha tu ale sahani mbili ila baadae na mimi namla yeye sahani tano.
Huyo ndo poa kabisa sio wale unanunua chakula buku 35000 anagusa gusa halafu anaacha.Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
🤣🤣🤣AiseeNamuacha tu ale sahani mbili ila baadae na mimi namla yeye sahani tano.
Anagusa kivipiHuyo ndo poa kabisa sio wale unanunua chakula buku 35000 anagusa gusa halafu anaacha.
za Coco pops aisee alikuwa anazitandika kama hana akili nzuri. Yaani ilikuwa ni anazichakaza box mbili zikaisha ndani ya siku tatu. 



Uongoo leo nimekula tu na nivizuri tu sijanunuliwa na mwanaumeHuyo anaweza kuwa anatoka sehemu ambayo msosi sio wa uhakika so ametengeneza tabia ya ulafi na uroho. Nakumbuka nilishawahi kudate na sampuli ya namna hiyo.
Unamuwekea apike nyama, aisee ni anaonja robo nzima inaishia jikoni kwenye muonjo. Hadi ikifika mida ya kuandaa msosi kwenye hotpot mchuzi na viazi ndio vingi kuliko nyama na bado anakuzidi kete kwenye kuchota anachukua vipande vingi hadi aibu unaona wewe mwanaume.
Halafu kalikuwa soda kanakunywa kushinda maji. Lile chupa la lita 2 la coca-cola analichapa lote mwenyewe bila kuvunga. Nikinunua takeaways wakati wa kusepa ataondoka na chupa mbili. Moja atafungua nyingine anaweka kwenye pochi.
Niliweka zile cerealsza Coco pops aisee alikuwa anazitandika kama hana akili nzuri. Yaani ilikuwa ni anazichakaza box mbili zikaisha ndani ya siku tatu.
Mademu wanaojua kupeleka puani si mchezo babu. Wanazidi hadi wanaume.