Kwa hali hii njaa itatumaliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hali hii njaa itatumaliza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IGO, Jun 18, 2011.

 1. I

  IGO Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu poleli sana na majukumu ya kujenga taifa<BR>swala la hali ya chakula linatishia kugarimu&nbsp;maisha ya watanzania walio wengi,bei za nafaka hususani mahindi yamepanda kuliko kawaida<BR>&nbsp;kwa mfano mwezi uliopita katka soko la manzese mahindi yalinunuliwa sh 300 kwa kilo,lakini leo nimeenda sokohilohilo kilo moja ya mahindi inauzwa sh 490 mpaka mia 600 kwa kilo kwa bei ya jumla ,nakila siku yanapanda kwa kasi nawakati hii ndio miezi ya mavuno chakushangaza serikali yetu haiko makini&nbsp; imetulia kama haipo wakati wakenya wameejaa dodoma na tanga wananunua mahindi kabla hayajavunwa wanapeleka sudan na kenya,sasa ambacho sijaelewa je ni matunda ya soko huria ndoo maanatunavuna mabua au ndio ukarimu wa watanzania tunao jivunia?nashawishika kuamini kuwa huu mwaka watanzania&nbsp; tutaumaliza tukiwa na machungu makubwa sana yatokanayo na njaa.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nenda Takukuru kuna software ya kuzuia utoaji na ulaji rushwa
   
Loading...