Aiseee ulikutwa nao?? Yaan ukapata na hamu ya kula kabisaaaa.. aisee au ulikua unajijua kabisa eeeeh
Niikua siamini amini,akili ililock kwa mda sijui niliona kama ndoto hivi.Aiseee ulikutwa nao?? Yaan ukapata na hamu ya kula kabisaaaa.. aisee au ulikua unajijua kabisa eeeeh
Kupima kwawafaa wanawake,Mwanaume mzima unaenda kupima HIV? mambo ya kike hayo.
Kwa sababu virusi vinapenda wanawake zaidi?
Haipendezi bana Mwanaume kupima,ni aibu kubwa sana.