Kwa hali hii matokeo ya wanafunzi yatazidi kuwa mabaya mpaka serikali ya CCM itakoma tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hali hii matokeo ya wanafunzi yatazidi kuwa mabaya mpaka serikali ya CCM itakoma tu!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Vunjavunja, Jun 20, 2012.

 1. V

  Vunjavunja Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebo tazama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa Tz (ajira mpya) cheti mwl 244,400=, afya 472,000=, kilimo na mifugo 959,400=, sheria 630,000= diploma mwl 325,700=, afya 682,000=, kilimo/mifugo 1,133,600=, sheria 871,500/= degree mwl 469,200=, afya 802,200/=, kilimo/mifugo 1,354,000/=, sheria 1,166,000/= je walimu tunaendelea kuvumilia upumbavu na ujinga wa kutunyanyapaa walimu kiasi cha namuna na serikali inategemea wanafunzi wafanye vizuri ktk mitihani walimu tunaomba tufanye mgomo usio na kikomo huu ni ujinga kuvumilia upumbavu wa serikali ya CCM.
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hizi data umezitoa wapi? govt karibu graduates(degree) wote wanaanza na TGSD 472,000 pamoja na maafisa kilimo/mifugo, sheria njaa tupu, wahandisi ndio wanaanzia TGSE.. diploma/certificates ni TGS C/B/A. hakuna mishahara ya hayo mamilioni labda kama unaongelea mashirika ya uma (napo ni arnd 800,000- 2m) au top officials na wapo wachache sana wanaopata hizo fedha, MD upo sahihi lakina sina hakika na clinical officers & nurses
   
 3. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sasa kwa nini mgome,tumuonee huruma Waziri Mkuu wetu jamani halafu mwaka 2015 ndio mfanye uamuzi sahihi.Mkuu wa kaya wetu ndio kama vile alivyoitwa na yule mbunge wa Ubungo!
   
Loading...