Kwa hali hii Kikwete ana haki kabisa ya kukataa kuishi Msoga

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Mara nyingi nimekuwa nikipishana na msafara wa rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Mrisho Kikwete ama ukitoka mjini au kuelekea mjini kupitia barabara ya Bagamoyo.

Kwa kweli ni aibu! Mbali na msafara huo kutumia ving'ora na pikipiki za polisi bado hakuna tija yoyote! Utakuta barabara imefunga kwa foleni! Mara nyingi msafara wake huishia kupitia njia za pembeni (service road) au kuchepuka njia nyingine!

Sasa kama mnaona ni fahari kumtumia mzee wa watu kwenye shughuli ambazo kimsingi anamuwakilisha (mara nyingi) rais kwanini mumuwekee mazingira magumu kufika uwanja wa ndege? Mnapitisha kama vile hajawahi kuwa rais bwana!

Hata kama kuna mambo ambayo hakufanya vizuri ila si mlikubali akaongoza nchi na bado mnamtumia? Kuna ugumu gani kumuwekea mazingira mazuri kutoka na kufika nyumbani kwake? Utakuta msafara wake unapenyapenya hadi unajiuliza kwanini asipewe tu favour?

Emb mjalini mzee wenu bwana na mumpe hadhi ajisikie amani kufanya shughuli mnazomtuma.

Mtu mzima hadi analalamika kuwa nyumbani kwake ni mbali? Emb mumpe kipaumbele apitapo njiani kama atalalamikia tena umbali.
 
Last edited:
Mzee wa msoga
 
Attachments

  • 1451390639471.jpg
    1451390639471.jpg
    41.7 KB · Views: 578
Hivi ile chopa ya serikali bado haijakamilika? Waruke angani watuachie foleni zetu. Ila kale ka-utaratibu ka kuvuta magari kuanzia Makumbusho kwenda Mwenge, Mbezi Beach, Africana kakiendelea katapunguza sana foleni (hali ilikuwepo jana, sijui leo).
 
Wapo watanzani wengi ambao wanaujuzi na exprience ya nchi nje ya nchi, vile vile hawaitaji msafara kwenda airport.
JK : Congratulation on your retirement, tanzanians are plessure working with you. Is right time for you to relax, have fun at msoga.
 
Last edited:
Wapo watanzani wengi ambao wanaujuzi na exprience ya nchi nje ya nchi, vile vile hawaitaji msafara kwenda airport.
JK : Congratulation on your retirement, tanzanians are pressure working with you. Is right time for you to relax, have fun at msoga.
Hawezi kutulia msoga
 
Mara nyingi nimekuwa nikipishana na msafara wa rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Mrisho Kikwete ama ukitoka mjini au kuelekea mjini kupitia barabara ya Bagamoyo.

Kwa kweli ni aibu! Mbali na msafara huo kutumia ving'ora na pikipiki za polisi bado hakuna tija yoyote! Utakuta barabara imefunga kwa foleni! Mara nyingi msafara wake huishia kupitia njia za pembeni (service road) au kuchepuka njia nyingine!

Sasa kama mnaona ni fahari kumtumia mzee wa watu kwenye shughuli ambazo kimsingi anamuwakilisha (mara nyingi) rais kwanini mumuwekee mazingira magumu kufika uwanja wa ndege? Mnapitisha kama vile hajawahi kuwa rais bwana!

Hata kama kuna mambo ambayo hakufanya vizuri ila si mlikubali akaongoza nchi na bado mnamtumia? Kuna ugumu gani kumuwekea mazingira mazuri kutoka na kufika nyumbani kwake? Utakuta msafara wake unapenyapenya hadi unajiuliza kwanini asipewe tu favour?

Emb mjalini mzee wenu bwana na mumpe hadhi ajisikie amani kufanya shughuli mnazomtuma.

Mtu mzima hadi analalamika kuwa nyumbani kwake ni mbali? Emb mumpe kipaumbele apitapo njiani kama atalalamikia tena umbali.
He simply doesn't deserve this privilege. Huyu ndio adui mkuu wa uchumi wa nchi hii kwa miaka kumi iliyopita
 
Back
Top Bottom