kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,208
- 18,476
ni suala la kumtegemea mungu na kujitahidi kujiepusha vimazingira yote....Ombi lako ni ombi langu, Mungu akiepushie kizazi changu na dhambi/aibu hii!
Sijui hata nitaiweka wapi sura yangu nikisikia mwanangu/kaka yangu kaolewa!