Imejifia mazima,Chato haitangazwi tena kama zamani yaani ipo ipo tu kama mkojo wa mbuzi
yalishanenwa haya watu wakapuuza.Chato haitangazwi tena kama zamani yaani ipo ipo tu kama mkojo wa mbuzi
Done Mkuu, shukrani sana!!!Mkuu hilo jina unalotumia ni wewe mwenyewe halisi Kumbusho Dawson Kagine au ni ID tu? Tafadhali fanya mpango kuverify au badilisha ID kama si wewe halisi
'Mambo ya expansion joints hayo'
Mkuu daahHata Piere alipata kiki za fasta fasta baada ya muda akapotea kabisaaa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Punda wanatumia traffic lights
Mungu alimaliza ubishiNa hamna ataefanya lolote