Wakifika nyumbani wanashusha mkia chini , kama mbwa koko , kuna mmoja tulikua nae ulevini , anajifanya kidume mara mwanamke hamwambii kitu akikaribia na nyumani anatafuna majani ili apotezee ushahidi kuwa alikua ulevini🚮
Kichwa changu kina mambo mengi nawaza hali mbaya ya uchumi, madeni, mikopo kharamu kama Kausha damu, Songesha, tozo pasua kichwa, Kodi za nyumba, marejesho, ada za watoto, deni la taifa na kadhalika!
Huo muda wa kufanya hayo maigizo nautoa wapi?