Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.
Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.
Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.
Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.
kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.
Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.
Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.
Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.
Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.