ANTHONY KWEKA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 957
- 380
Mwache asubiriee meli Ngarenaro
asante sana mkuu umemaliza kila kitusystem imekuwa program kuchagua wenye point 4 kutoka masomo mawili tu, sasa, sasa kama unafikiri hiyo ni sawa na kubet mpira jaribu uone. Ushauri apply diploma mapema kwanini mnakuwa sio waelewa sio lazima uende chuo kikuu ndio uonekane umesoma wangapi wamemaliza degree na hawana mbele wala nyuma diploma hasa za sayansi ni nzuri sana ukiwa na malengo kwani wanahitajika sana kubali kwamba ulijitahidi sana na matokeo sio mazuri basi songa mbele