Kwa elimu hii tutafika?


Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Messages
3,849
Likes
29
Points
145
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2010
3,849 29 145
Wana JF nisaidieni kwa hili;
Ukiangalia mfumo wa elimu yetu ya Tz ka imekaa kimagumashi magumashi kwa sababu haibadiliki na technologia mfano madarasa,vifaa vilivyoachwa na wakoloni mpaka leo ndo hivyo hivyo,walimu ni hawa VODAFASTA, kweli ni haki mwanafunzi anamaliza FORM FOUR hajawahi kuona hata test tube?????????
Vibaka,matapeli wanaongezeka kwa sababu ya hii system ambayo inamfanya PROFESIONAL kuwa ombaomba kwa kutokujua vitu PRACTICALLY.
Naumia sana jameni.............anyway mwaonaje??????
 
K

Kibongoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2009
Messages
227
Likes
5
Points
0
K

Kibongoto

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2009
227 5 0
Hakuna mpya sasa ktk hili,toka mijadala ya elimu ianze tunayoongea ni yale yale. Hua nashangaa kusoma kwenye magazeti yetu eti taasisi fulani imefanya utafiti kuhusu nini chanzo cha kudorora kwa elimu bongo. Kweli mnaweza kutumia hela kufanya utafiti kuhusu suala hilo? Majibu yake hata ukwauliza wanafunzi wa primary tu wanakupa yote siku moja. Kwanza kila mtu anajua bana. Solution kila mtu anajua lakini hatutaki kubadilika kwa hiyo ilichobaki kila mtu atoke kivyake vyake tu.
Kama decision makers wanasomesha watoto wao FEZA schools sasa mabadiliko kwenye shule za miembeni wanayahitaji kwaajili gani? Hata uwaambie nini wala they can't feel a thing. Kwani wanaoumia ni watoto wao? Mtataabika na kura mtawapa,wengine ndio hao watoto wanaenda zao kusoma marekani wakirudi tunawasifia eti they are so smart na tunawapigia debe wawe viongozi.
Mambo ni magumu sana haya. Pole ndugu ila ndio hali halisi maana BONGO TAMBARARE.
 

Forum statistics

Threads 1,237,176
Members 475,465
Posts 29,280,308