Kwa Dr. Slaa (PhD) ni UDINI kwa Mch. Mtikila SIYO UDINI mmhh hapa kuna jambo si bure!

Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini, japo kuwa katiba inaruhusu mtu yoyote kugombea urais. Kama mnataka kuitoa CCM madarakani simamisheni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.

Ni ushauri tu.

Acha ujanja wa mbuni wa kuzika kichwa mchangani ili hali kiwiliwili chote kikiwa nje, akijidhani kwamba adui humuoni kwasababu yeye (mbuni) hamuoni.

Mbona mwaka 1995 aliposimamishwa Mrema hamukuitoa CCM madarakani?
Mbona mwaka 2000 aliposimamishwa Prof. Lipumba hamukuitoa CCM madarakani?
Mbona mwaka 2005 aliposimamishwa Mbowe hamukuitoa CCM madarakani?

Mwaka 2010 mmechakachua matokeo na majaaliwa ya mwaka 2015 yako mashakani, then unakuja na ushauri huu wa "Karumekenge".
Kubali tu Dr. Slaa ni maji marefu kwa CCM na bila kujirekebisha CCM (which i dont see it in a near future) 2015 CCM watakuwa
wapinzani 2015 Count my words
 
Jordani katiba yao yasema lazima rais awe mkiristo,waziri mkuu ambae ndo mtendaji mkuu awe sunni na spika anakua shia.ndo maana wairani baada ya kumtoa hariri walishindwa kuweka mshia kwenye nafasi ya prime minister.hizbulah wanaitwa magaid but walifata katiba na wakakubari.padri slaah lazima uwe mvumilivu kama jk ameshinda na bado waleta chokochoko then we are in for big trouble.bilieve me
 
Mimi ni mdini ukweli ila sichukia watu wa dini nyingine na ninaishi nao vizuri tu, baba yangu ni wadini hiyo tu, ila mimi niliamua kufuata dini ya mama yangu. Huo ndio ushauri niliyowapa kama kweli mnataka kuitoa CCM ila kama nyie ni mamluki wa CCM leteni mtu aliyekuwa kiongozi wa dini.

Hivi kweli kumbe kuna watu wenye mawazo kama haya. mwalimu nyerere alisema watu waliofilisika kiakili wanajielelekeza kwenye udini wakishwindwa kwenye ukabila hawa si wajinga ni wapumbavu kabisa.
 
Acha ujanja wa mbuni wa kuzika kichwa mchangani ili hali kiwiliwili chote kikiwa nje, akijidhani kwamba adui humuoni kwasababu yeye (mbuni) hamuoni.

Mbona mwaka 1995 aliposimamishwa Mrema hamukuitoa CCM madarakani?
Mbona mwaka 2000 aliposimamishwa Prof. Lipumba hamukuitoa CCM madarakani?
Mbona mwaka 2005 aliposimamishwa Mbowe hamukuitoa CCM madarakani?

Mwaka 2010 mmechakachua matokeo na majaaliwa ya mwaka 2015 yako mashakani, then unakuja na ushauri huu wa "Karumekenge".
Kubali tu Dr. Slaa ni maji marefu kwa CCM na bila kujirekebisha CCM (which i dont see it in a near future) 2015 CCM watakuwa
wapinzani 2015 Count my words

Halina ubishi kwa sababu Mungu siku zote huwa upande wa wenye haki
 
2. CDM kabla ya Slaa haikuwahi kuongelewa udini

CDM kabla ya Slaa iliongelewa uchaga (Hivi sasa umeisha???). CDM baada ya Slaa akija Zitto mtaongelea uislam. Tuwewazoea cheap politics haziwafikishi popote zinazidi kuwaua tu wenyewe.
 
Huyu JAVA hana Hoja hawa ni wale waliosoma Juzuu zote na Elimu dunia wameicha, kikwete amewaasa juzi juzi warudi shule ndo waingie mahala kama hapa waweze chambua hoja kwa kina. Ninashaka Huyu JAVA hajui haki zake za Msingi, pia hajui madhara ya Udini ila kwasababu ilipitishwa kampeni kule misikitini tuwachukia wakristo na tusiwapigie Kura basi hilo ndo limebaki akilini mwake, hadi atakapo pewa order nyingine huko msikitini.

Mungu Ibariki Tanzania na uwasamehe mafisdi kwani hawajui watendalo!
 
kura zilipigwa 31 oct 2010 na jibu unalo nani anapedwa na yuko magogoni. Hiyo idadi ya watu waliokuwa kwenye maandamano haiwezi kutosha kumpa mtu ubunge sumbuse urais.

Naona hiyo idadi inakusumbua. Mmezoea kubeba na mafuso eeh?? Hao wamekuja wenyewe, hamna pilau, wala TOT, wala kulazimishwa baada ya swala.
 
Ndugu yangu gosbert umenena kweli. Tusipoziba ufa tutajenga ukuta sisiem imekosa sera inapakazia udini chadema...fuatilia mkutano wote wa chadema jana kule mwanza hakuna hata punje ya udini.....sasa sijui udini ni majina!
 
Huyo rais msitaafu hajawahi kuwa kiongozi wa dini, au hilo jina alhaji linakupa tabu. Alhaji/hajat ni muislamu yoyote aliyewahi kwenda hija makka. Hao wabunge, mawaziri hakuna tatizo wao kuwa viongozi wa dini ila kwa rais bado sana labda uko mbeleni ila si kwa tanzania ya sasa yenye matabaka.

mkuu heshima mbele!matabaka na udini haupo huku chini.JK na hao wasioitakia mema tanzania ndo wametufikisha hapa tulipo.aibu yake kikwete kuwa wa kwanza kuhubiri udini jukwaani!nahisi mwalimu angekuwepo angemchapa viboko hadharani!
 
Hivi kweli kumbe kuna watu wenye mawazo kama haya. mwalimu nyerere alisema watu waliofilisika kiakili wanajielelekeza kwenye udini wakishwindwa kwenye ukabila hawa si wajinga ni wapumbavu kabisa.

nyerere kwani ndo nani!,nilivaa katambuga kipindi chake kama huzijui ni kandambili za matairi ya magali,nikala ugali wa yanga,uniform za shule tukavaa marekana WHAT KIND OF PREZ WAS HE? watu walishona viraka ni mpaka salimu ahmed salimu aje ndo akaruhusu mitumba. Watu wakaanza kuvaa.enzi za sokoine ukikutwa na emprial soap z kenya hata kipande tu waitwa muhujum unadhani kwa nini alikufa.UNADHANI KWA NINI WAJESHI WALIJARIBU KUMTOA NYERERE ZAIDI YA MARA TATU?tuacheni unafki nyerere was bad ndo maana alishindwa akajistaafisha mwenyewe
 
Sijasema Muislamu au muikiristu hata tawala Tz, nimesemea waliokuwa viongozi wa dini, kuna busara kubwa sana kwenye ushauri wangu kwa musitakbari wa taifa letu.

kama unavyojiita mwenyewe "halfcast" inadhihirisha hujui unalolitaka wala unaloongea, imetosha tu pale uliposema uliacha ya baba ukafuata ya mama umeeleweka kwamba wewe u-mtu wa aina gani!?
 
Watu walibeba mali zao walizopata kwa halali kwenda kuzitupa mitoni n maporini kuwa tajiri ilikua dhambi WAKAITWA WAHUJUMU.leo hii mambo yanajirudia kuwa tajiri ni fisadi huyu jk akitoka baada ya mda wake na wasiwasi tukapata dictotar tena.
Haya baada ya mwinyi akaja mkapa jitu katili sana,likauza mashirika yetu ya umma yote,akaua watu pemba ,akafanya ufisadi wa kufa mtu leo hii issue imekua dowans.kweli jamani tunafikiri clearly ama watu wako retard
 
Kwanini yule mwakilishi wa Mtei alisoma maandiko ya Biblia? Kwanini Slaa alilala parokiani? Kwanini maaskofu Arusha walitoa tamko la kutomtambua meya? Kwanini Pengo alikua akiingia baraza la mawaziri? Kwanini kulikua na ubalozi wa papa ikulu? Kwanini maaskofu walishutumu mauaji ya Arusha pekee na kuacha mwembe chai na znz? Kwanini kupinga mahakama ya kadhi,na kufikia hatua ya kusema damu itamwagika?Kwanini Nyerere apewe utakatifu na kuitwa baba ametenda kwa kanisa lipi? Kwanini kule kwa Pinda kanisa liliwafukuza ushirika waliompa kura Kikwete? Kwanini Zito alilalamikia udini? Kwanini Zito alikataliwa kugombea uenyekiti? Kwanini waungaji mkono wa cdm asilimia tisini ni wakristo? Kwanini linapoibuka suala dogo linalohusu waislam hupata upinzani mkali bungeni? Kwanini mabaraza yote ya mawaziri ya Kikwete yanalalamikiwa sana? Ukijibu maswali haya machache ya kuanzia kwa usahihi utagundua jambo kuu hapa ni UDINI. Maswali yako mengi tena mengine magumu kuyajibu.
 
hayo maswali hajajibiki hata kwa dawa! na hawayapendi kweli maswali ya aina hiyo! minaona hii CHADEMA yao tuwaachie wenyewe tuu watu wa kanisa!
 
Ndg zangu wanaJF,

Kwa nini Chadema na Dr. Slaa (PhD) wao wanaonekana kuwa ni wadini lakini Mch. Mtikila ambaye jina lake halitajwi bila cheo cha Mch. lakini sijawahi kusikia Mzee Mtikila akilaumiwa hata mara moja kwamba ni mdini. Tena basi wakati mwingine Mch. Mtikila amekuwa akiirejea waziwazi Biblia Takatifu katika kujenga hoja zake mbele ya vyombo mbalimbali vya habari lakini hajawahi kulaumiwa kuwa ni mdini.

My take:
Dr. Slaa (PhD) anaonekana kuwa ni tishio kwa sisiem na mafisadi wake. Wameshindwa kupunguza kasi yake kwa kutumia nguvu ya hoja. Wamejaribu kutumia maisha yake binafsi ya ndoa, wameshindwa. Mwishowe, wamekimbilia kwenye UDINI kama silaha yao ya msaada. Sasa bahati mbaya silaha hiyo ni ya maangamizi. Badala ya kumwangamiza Dr. Slaa (PhD) na chadema yake, watakaoangamia ni jamii nzima ya Tanzania. Ukweli wa hoja hii umeanza kujionyesha MTO WA MBU. Watanzania tuipuuze na kuifutilia mbali sisiem. Ni chama kilichopauka. Kimeishiwa hoja. Tukiendelea kukiacha madarakani, taifa litaangamia. Mwenye macho na masikio asipuuze wito huu.

Mkuu nadhani ulikuwa bado mdogo kipindi kile chama cha DP ya Mchungaji Mtikila kikituhumiwa kuwa ni Christian Democratic Part-CDP, hawamuandami sasa kwa sababu ameshachuja kisiasa.

Anachoongea JAVA japo kinaonekana kama ni kitu cha kijinga hivi lakini kimsingi kina-apply sana ndani ya jamii yetu hii ya kitanzania, Ata mie kule kwetu ungewaambia watu wamchague Prof au PHD holder wa Quran kama Prof Mikidadi kuwa Rais wao wasingeweza kukuelewa.

Ni rahisi sana kwa wapinzani kujenga hofu kwenye jamii ya dini pinzani kuwa elimu ya dini ya mgombea itamuathiri kwenye kutoa maamuzi yenye mikinzano ya kidini kama Mahakama ya Kadhi na OIC, bado tuna safari ndefu sana katika hili.
 
Jamani kuongoza kondoo wa bwana haitaji nguvu sana ni utashi wa moyo kuwa safi.mtu anashindwa anahamia politic SAWA ANAONGEA ISSUE ZA KUELEWEKA.amegombea ameshindwa jamani huo uchakajuaji wa kura zaidi ya milioni mbili,IT IS IMPOSSIBLE.
This guy better be realy careful HATUWEZI KUKUBALI CONSIPIRACY YOYOTE YA KIDINI AND TO THIS AM FULLY COMMITED,this is a peacefull country but kama mtu kwa uroho wake wa madaraka antaka kuforce vitu THAT MAN WILL STOP A BULLET full stop
 
Back
Top Bottom