Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini, jpo kuwa katiba inaruhusu. Kama mnataka kuitoa CCM leteni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.
Ni ushauri tu.
mnamwogopa. pure and simple. watanzania wengi wameanza kuelewa kwa nini hali zao ziko hivyo zilivyo. sio mabwege tena. will decide come 2015. wait and see. majority ya watanzania sio wadini.