Kwa Dr. Slaa (PhD) ni UDINI kwa Mch. Mtikila SIYO UDINI mmhh hapa kuna jambo si bure!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ndg zangu wanaJF,

Kwa nini Chadema na Dr. Slaa (PhD) wao wanaonekana kuwa ni wadini lakini Mch. Mtikila ambaye jina lake halitajwi bila cheo cha Mch. lakini sijawahi kusikia Mzee Mtikila akilaumiwa hata mara moja kwamba ni mdini. Tena basi wakati mwingine Mch. Mtikila amekuwa akiirejea waziwazi Biblia Takatifu katika kujenga hoja zake mbele ya vyombo mbalimbali vya habari lakini hajawahi kulaumiwa kuwa ni mdini.

My take:
Dr. Slaa (PhD) anaonekana kuwa ni tishio kwa sisiem na mafisadi wake. Wameshindwa kupunguza kasi yake kwa kutumia nguvu ya hoja. Wamejaribu kutumia maisha yake binafsi ya ndoa, wameshindwa. Mwishowe, wamekimbilia kwenye UDINI kama silaha yao ya msaada. Sasa bahati mbaya silaha hiyo ni ya maangamizi. Badala ya kumwangamiza Dr. Slaa (PhD) na chadema yake, watakaoangamia ni jamii nzima ya Tanzania. Ukweli wa hoja hii umeanza kujionyesha MTO WA MBU. Watanzania tuipuuze na kuifutilia mbali sisiem. Ni chama kilichopauka. Kimeishiwa hoja. Tukiendelea kukiacha madarakani, taifa litaangamia. Mwenye macho na masikio asipuuze wito huu.
 
Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini, japo kuwa katiba inaruhusu mtu yoyote kugombea urais. Kama mnataka kuitoa CCM madarakani simamisheni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.

Ni ushauri tu.
 
Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini. Kama mnataka kuitoa CCM leteni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.
Ni ushauri tu.
Wewe ndo MDINI namba one. Hiyo sentensi yako inashiria hivyo..... ushindwe na ulegee!
 
Mimi ni mdini ukweli ila sichukia watu wa dini nyingine na ninaishi nao vizuri tu, baba yangu ni wadini hiyo tu, ila mimi niliamua kufuata dini ya mama yangu. Huo ndio ushauri niliyowapa kama kweli mnataka kuitoa CCM ila kama nyie ni mamluki wa CCM leteni mtu aliyekuwa kiongozi wa dini.
 
Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini. Kama mnataka kuitoa CCM leteni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.
Ni ushauri tu.

Mkubwa labda unaweza kutupa sababu kwa nini waliowahi kuwa viongozi wa dini hawafai kuongoza nchi??
 
Soma utangulizi wa huu uzi kwa makini alafu jaribu kuangalia kwanini muanzilishi amehusisha mambo yaliyo toke Mto wa mbu na Siasa, utapata jibu kwanini bado hatujawa tayari kuongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini.
 
Mimi ni mdini ukweli ila sichukia watu wa dini nyingine na ninaishi nao vizuri tu, baba yangu ni wadini hiyo tu, ila mimi niliamua kufuata dini ya mama yangu. Huo ndio ushauri niliyowapa kama kweli mnataka kuitoa CCM ila kama nyie ni mamluki wa CCM leteni mtu aliyekuwa kiongozi wa dini.

Dalili za mtindio wa ubongo hizo, ushauri wenyewe unao wa kumshauri mtu wewe kwa qualifications zipi ulizonazo?
 
Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini. Kama mnataka kuitoa CCM leteni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.
Ni ushauri tu.

lakini unawaona wapiga kura wanampenda nani? umeuona umati wa jana? ingekuwa katu basi hawa watu wasingeenda hata kumsikiliza na walikuwa tayari kufa kwa ajili yake, maana kuna mauaji yalitokea arusha hivi karibuni hivyo tulitegemea watu waogope lakini wameenda jana. wewe utashangaa na chama chako cha wahuni hicho
 
[QUOaTE=Johnsecond;1665509]Dalili za mtindio wa ubongo hizo, ushauri wenyewe unao wa kumshauri mtu wewe kwa qualifications zipi ulizonazo?[/QUOTE]

Kwanza ndugu yangu faham na uzingatie sana, kama ndugu ye2 alivyoeleza kuwa kiongozi yeyote wa dini hafai kuongozesha taifa kwani ataleta utata ktk baadhi ya dini isiyo kua yake.
 
Ninawasiwasi na usemi wako. Wengi tumewahi kuwa viongozi wa kidini kuanzia Dr. Mohamed Bilal hadi Kikwete mwenyewe ila uongozi wao wa kidini haukufikia katika level ya Upadri na ushehe. Seif ni kiongozi wa kidini na anaitwa Maalim Seif Hamad lakini ni kiongozi wa Serikali katika Tanzania (Makamu wa Rais Zanzibar). Kikwete aliwahi kuwa kiranja madrasa - ni uongozi katika dini..... sijui unamaanisha nini au unataka kutueleza nini? Watu wengi wamekuwa viongozi wa YCS, UKWATA, CASFETA n.k ... je wote hawafai kuongoza nchi hii??? na hiyo ni ibara gani ya katiba.
Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini. Kama mnataka kuitoa CCM leteni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.
Ni ushauri tu.
 
Ninawasiwasi na usemi wako. Wengi tumewahi kuwa viongozi wa kidini kuanzia Dr. Mohamed Bilal hadi Kikwete mwenyewe ila uongozi wao wa kidini haukufikia katika level ya Upadri na ushehe. Seif ni kiongozi wa kidini na anaitwa Maalim Seif Hamad lakini ni kiongozi wa Serikali katika Tanzania (Makamu wa Rais Zanzibar). Kikwete aliwahi kuwa kiranja madrasa - ni uongozi katika dini..... sijui unamaanisha nini au unataka kutueleza nini? Watu wengi wamekuwa viongozi wa YCS, UKWATA, CASFETA n.k ... je wote hawafai kuongoza nchi hii??? na hiyo ni ibara gani ya katiba.

Hao wote uliowataja waliongoza msikiti upi au kanisa lipi? Hao viongozi wa YCS,UKWATA, CASFETA ni viongozi wa vikundi tu vya wanafunzi. Hapa ninazungumzia wachungaji, Maaskofu, Mashekhe, Mapadri,
 
lakini unawaona wapiga kura wanampenda nani? umeuona umati wa jana? ingekuwa katu basi hawa watu wasingeenda hata kumsikiliza na walikuwa tayari kufa kwa ajili yake, maana kuna mauaji yalitokea arusha hivi karibuni hivyo tulitegemea watu waogope lakini wameenda jana. wewe utashangaa na chama chako cha wahuni hicho
kura zilipigwa 31 oct 2010 na jibu unalo nani anapedwa na yuko magogoni. Hiyo idadi ya watu waliokuwa kwenye maandamano haiwezi kutosha kumpa mtu ubunge sumbuse urais.
 
Soma utangulizi wa huu uzi kwa makini alafu jaribu kuangalia kwanini muanzilishi amehusisha mambo yaliyo toke Mto wa mbu na Siasa, utapata jibu kwanini bado hatujawa tayari kuongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini.

Unaposema "hatujawa," ni akina nani nyinyi? Signature yako inaonesha tu unachotaka kusema: "Uislam kwanza, Tanzania inafuata, Vyama vinafuata baadae."
 
Sisi watanzania, Hiyo signature yangu inamaanisha kuwa maslahi ya Uislam ninayapa kipao mbele kuliko kitu chochote kile. Baada hapo maslahi ya taifa yanafuata kwa umuhimu mwisho ndio vyama vya siasa. Kitu kikihusu maslahi ya uislam utanzania naweka pembeni, na kitu kikihusu maslahi ya taifa itikadi ya vyama na weka pembeni.
 
Katu Tanzania haitaongozwa na mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa dini. Kama mnataka kuitoa CCM leteni mgombea ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa dini yoyote.
Ni ushauri tu.
Sijui unatumia katiba hii hii au umeshachakachua ya kwako. Katiba hii tuliyonayo japo ni mbaya na haikidhi mahitaji ya wakati uliopo, inampa haki mtu yeyote kuchagua au kuchaguliwa regardless of political or religious affiliation.

Jitahidi kuwa objective unapojadili hoja. Huko ndo kukua!
 
Unaposema "hatujawa," ni akina nani nyinyi? Signature yako inaonesha tu unachotaka kusema: "Uislam kwanza, Tanzania inafuata, Vyama vinafuata baadae."

Psychopolitics for Cheap politicians.Viongozi wengi wa Tanzania Wanaamini majini na mashetani Jk being the one.Ila wanatumia majina ya uislam na ukristo ili kupata followers.
 
Kwa kweli mtikira ni muwazi ,haconsipire,yuko straigh .slaa bana asemehe tu urais .niko radhi mtikira atawale kuliko wilbroad an i insist
 
Tukimaliza udini tutarudi kwenye ukabila Mhaya,Mnyakyusa na Mchaga hawatawali ng'o! Pumbaaaaaaaaaaaaaaf Myopic Tanzanians na CCM. Uoga wa mabadiliko.
 
Sijasema Muislamu au muikiristu hata tawala Tz, nimesemea waliokuwa viongozi wa dini, kuna busara kubwa sana kwenye ushauri wangu kwa musitakbari wa taifa letu.
 
Back
Top Bottom