KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Nina hakika hata ujikombe vipi ulisha dharauriwa kwani ulishaonekana wewe ni debe tupu!Mkuu Kimu Karadashi, kwanza asante kuiombea Chadema fedha za send off, lakini kwa the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, hakuna diaspora yoyote wa kuichangia Chadema as Tanzanians diaspora community collectively by mobilization, tena sijui hata ni Mtanzania gani huko diaspora mwenye guts za ku mobilize michango kwa Chadema!, bali Watanzania wana diaspora wenyewe mmoja mmoja, individually, tena ni wale waliojilipua, ndio waichangie Chadema send off money, uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.
P
Mzee wewe zilishapendwa bora ukae kimya!Wangebadilika kwanza.. kuna wakati ilikuwa rahisi kuwachangia au kuhamasisha watu wachangie... ila labda muanze mlioko nyumbani kwanza kufanya fundraising kama ile ya M4C ya Mwanza....
yes wewe sasa hapo hapo malawi tafuta wenzako wawili watatu mfanye mobilization
Itapendeza kama tutaweza kutoka na platform nzuri na covenient kwa watu kuweza kuchangia,diaspora can do that i believe,we just need mobilization tu na ndio viongozi walichoomba,tufanye sisi wenyewe huku hiyo mobilization na mfumo mzima then tuwape wao feedback,na mtu wa kuwasiliana nae anaehusika na hilo suala ni mh.nyalandu,mkihitaji contacts nitawapatia kwa kuwa mimi siko texas niko the other side of us na sitaweza kufika kutokana na majukumu yanayonikabili,ila tuko pamoja.Tutalijadili kwenye kikao tutakachokaa Jijini Texas mwezi ujao mwanzoni
Mara zote ccm huwadharau kama takataka wanaojifanya chama ni chao , ndio maana huchukua wasaliti na kuwapa vyeo vya juu , hawa wachumia tumbo hupewa bando ili wapambane humu jf na kwingineko , majina yao tunayoNina hakika hata ujikombe vipi ulisha dharauriwa kwani ulishaonekana wewe ni debe tupu!
yaani niichangie chadema hiihii iliomuweka Mamvi 2015?yes wewe sasa hapo hapo malawi tafuta wenzako wawili watatu mfanye mobilization
Mbona ninyi mnakila kitu mpaka viwanja vya michezo mlipola nchi nzima,lakini mnachangisha mashimo ya choo,madawati hadi madarasa.na mnalilia pesa zaDah! Tanzania wajinga ndio waliwao. Chadema wanapata shillingi 320 million kila mwezi matumizi anafahamu Mbowe pekee kazi kweli kweli. Bado wana tamaa ya diaspora money!