prophet_tz
Senior Member
- Feb 14, 2022
- 176
- 303
Habari za mda huu wana JF najua humu kuna wajuvi wengi humu nikasema siyo vibaya niwashirikishe.
Kutokana na kazi zangu za kusafiri mara kwa mara najikuta nachoka sana mwili wote unauma siyo mgongo siyo kiuno yani nakuwa mzito sana nikasema ngoja niwashirikishe wadau mnipe connection ni sehem gani nzuri naweza pata huduma ya massage ili niwe fresh.
NB: Sitegemei luga mbaya. Kama Huna ushauri just kuwa msomaji wa comment za wadau namini hutopungukiwa na chochote just kiroho safi.