Mangi Muitori
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 653
- 422
Unajua Asset mara nyingine inakuwa na depreciation mpaka 0 halafu inabidi kuidisposeSijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM.
Naomba CCM mjitafakari Sana.
Uropokaji na Mihemko je?Utulivu siyo takwa la kisheria ila uchapakazi ndiyo takwa kwa kiongozi yoyote.
Wajinga wape chakula wale washibe then watafutie michezo wacheze au watengenee Mada ya kujadili na hapo utakuwa umemaliza kazi.Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM.
Naomba CCM mjitafakari Sana.
Ni hasara pia na mfano ni Nape.Ni hasara tu, je kuna faida gani kua na waziri mzembe mropokaji na mwenye mihemko?
Utulivu wake unalisaidia taifa kwa faida gani, mbona vijana wa sasa mnakuwa na akili za kipumbavu namna hii?Sema kweli Makamba anaweza asiwe mchapa kazi kiivo lakini huyu Mwana ni Mtulivu sana hili pekee linampa sifa njema.
Wewe na fujo zako umelisaidia nini hili taifa?Utulivu wake unalisaidia taifa kwa faida gani, mbona vijana wa sasa mnakuwa na akili za kipumbavu namna hii?
Wewe kuelimika kwako kote ni wapi ulipowahi kusoma kuwa sifa ya kiuongozi ni utulivu, sisi kama raia yeye akitulia na utulivu wake inatusaidia nini kimaendeleo?
Hebu nenda kamfuate mkatulie pamoja huko ofisini kwake.
Ndugu..Wewe na fujo zako umelisaidia nini hili taifa?
Hujajibu swali, ila sawa umejitetea vyema.Ndugu..
Sifa ya utulivu inafaa kwenye ndoa...
Kiongozi anapaswa kua mtendaji.
Nani ni mchapa kazi huko CCM?? Maana hatuoni mabadiliko yoyote,,labda pale CCM yote itakapo ondokaUtulivu unafaa nini ikiwa mja si mchapakazi?
Kuna faida gani kuwa na waziri mtulivu asiye mchapakazi?
Inategemea na jicho lako latazameje mambo...Nani ni mchapa kazi huko CCM?? Maana hatuoni mabadiliko yoyote,,labda pale CCM yote itakapo ondoka
Mropokaji Nape ameonja ndimuUropokaji na Mihemko je?
Sema pombe sio Mwana asee, Serengeti ya Bukujii imeponza Mabilioni.Mropokaji Nape ameonja ndimu
Mwizi wa mtihani unasema ana utulivu, akili na ufahamu kwelii??Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM.
Naomba CCM mjitafakari Sana.
Mnatapatapa kwahiyo ccm inamtegemea makamba ??? Kweli wewe hamnazo, kuna mtu aliokuwa na nguvu na ushawishi kama lowasa? Alivyojaribu kupimana mbavu na ccm uliona nini kilichomkuta, hawa watu wanabebwa na chama , wao kama wao ni weupe tu, magufuli si aliwatoa wote ,uliona ccm iliteterwka?Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM.
Naomba CCM mjitafakari Sana.
Shida unalolizungumzia halina faida ama positive impact kwa wananchi, utulivu hauna impact kwa maendeleo yao, sisemi kua ni mpigaji ila nakupa mfano tu,: Hivi kiongozi ukiwa mtulivu na mpiga, wewe uo utulivu wako utakua na benefit gani kwetu?uongozi ni kwa ajili ya jamii, utulivu ni kwa gfnd yako ama mkeo na familia. Ndio sababu ya kukuweka mfano wa Yuda, maana Yuda utulivu wake kuzidi Petro haukua na tija kwa mambo ya msingi ila kilikua kivuli cha kupanga mipango kisiri ili amuuze Bwana wake.Kikubwa utulivu mkuu, kuhusu utu sijui na ndio maana sijataka kulizungumzia kabisa.
Hapa nazungumzia break ya mdomo na mihemko tu.
Shida umetumia mifano ya Kizayuni hii ni Bongo.Shida unalolizungumzia halina faida ama positive impact kwa wananchi, utulivu hauna impact kwa maendeleo yao, sisemi kua ni mpigaji ila nakupa mfano tu,: Hivi kiongozi ukiwa mtulivu na mpiga, wewe uo utulivu wako utakua na benefit gani kwetu?uongozi ni kwa ajili ya jamii, utulivu ni kwa gfnd yako ama mkeo na familia. Ndio sababu ya kukuweka mfano wa Yuda, maana Yuda utulivu wake kuzidi Petro haukua na tija kwa mambo ya msingi ila kilikua kivuli cha kupanga mipango kisiri ili amuuze Bwana wake.