Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Rudieni tenaSiku zote dhaifu ndiyo huwa na kelele chumbani
Tulisema adui wa nchi hii ni CCM hamkutuelewa, sasa mtaelewa tuKama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Haikwenda jwtz,ilienda sadc na silaha limited,huyo mbu mwenyewe anajua jwtz ni kitu ganiRudieni tena
Dhaifu wakati kawapiga mkong'oto hadi mkaomba poo. Kasema hadi akaamua kuwaruhusu mpitishe mizigo yenu na silaha zenu kupitia nchini kwake maana la sivyo mngeuwawa woteSiku zote dhaifu ndiyo huwa na kelele chumbani
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.😩😩😩Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Kwa biti alilowapiga Kagame jana kama wana akili waachane na kuwa majinga ya CCM na waanze kwa kuwakazia kusimamia kweli Katiba CCM waache upuuzi wa kuipeleka Tanzania watakavyoJWTZ ilikuwa enzi za Nyerere, siku hizi imekuwa UVCCM.
Mbwembwe tu,angezuwia tusipite..na kwa kuwa hawazi kutoka congo basi tunamuahidi, sisi siyo milimaDhaifu wakati kawapiga mkong'oto hadi mkaomba poo. Kasema hadi akaamua kuwaruhusu mpitishe mizigo yenu na silaha zenu kupitia nchini kwake maana la sivyo mngeuwawa wote
Saivi wamekuwa Jeshi la Maonyesho. Leo walikuwa Comoro wanacheza kwata ya kimya kimya.Kagame ni sisimizi tu.
Anatumia propaganda dhaifu za vitisho, kwanza yule tunamtumia MIGAMBO tu wamnyooshe na kakijiji chake cha Rwanda.
JWTZ ni jeshi lenye hadhi ya juu sana haliwezi kushindanishwa na huyo KIJITI mwenye afya GOIGOI.
Huu ndio wakati wa akina Lucas Mwashambwa na migambo wenzake akina ChoiceVariable kuchangamkia fursa na kwenda kumtwanga huyo KIJITI WA RWANDA.
Ndo upumbavu ambao kama wana akili washirikiane na TISS kuukomesha walazimishe katiba mpya inayowapiga pini Wanasiasa.JWTZ Ipo imara mno
Mjinga ni Samia na Shishekedi tu kutokidhi mahitaji ya wanajeshi na ushauri wa kitaalamu!!