mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,296 Reaction score 9,238 Feb 2, 2013 #121 Ukimuona kobe juu ya mti jua kabebwa,akitaka kushukwa ama ashushwe na aliyempandisha au aanguke au afie juu hukohuko,hii ndio hali ya madamee mzoea kubebwa,kila post ya kisiasa ni kama furushi hubebwa na kuachwa sehemu nayohitajiwa furushi liwepo
Ukimuona kobe juu ya mti jua kabebwa,akitaka kushukwa ama ashushwe na aliyempandisha au aanguke au afie juu hukohuko,hii ndio hali ya madamee mzoea kubebwa,kila post ya kisiasa ni kama furushi hubebwa na kuachwa sehemu nayohitajiwa furushi liwepo