mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 608
Serikali ya Kenya imewekeza pesa nyingi kujenga bandari ya Lamu ambayo itakapo kamilika itakua ya pili kwa ukubwa katika ukanda huu wa bandari ya hindi ikiongozwa na ile ya Durban S.A
Hapo awali competitor mkubwa wa bandari ya Dar es Salaam ilikua ni bandari ya Mombasa, ujio wa bandari hii utaongeza ushindani zaidi kwa bandari yetu kubwa ya Dar es Salaam.
Ili kukabiliana na ushindani huu, TPA haina budi kuongeza nguvu katika kufanya maboresho makubwa katika bandari ya Tanga na ikiwezekana serikali iresume ujenzi wa bandari ya Bagamoyo tu kwani Tanzania ina geographical advantage kwa nchi za DRC, Rwanda,Uganda na Burundi ukilinganisha na Kenya.