lameck laedo
Senior Member
- May 15, 2016
- 174
- 76
Kwa band hizi zitafaa kwa mtandao gani?
Voda nafkr na ttcl...hiyo band 3![]()
Kwa band hizi zitafaa kwa mtandao gani?
na tigo na zantel mjiniVoda nafkr na ttcl...hiyo band 3
na tigo na zantel mjini
upo eneo ambalo hio mitandao inapatikana? sababu tigo na zantel 4g ya 1800 ipo mjini tu ukitoka tu hata bandari pale unaweza usiipate.Mpaka sasa iliyokubali ni voda tu, nashangaa tigo na ttcl haitaki!
Tuna vifurushi mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja, jiunge Tam tam plus kwa kupiga *150*71#![]()
Kwa band hizi zitafaa kwa mtandao gani?