Samsung note 10+Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa...
Shukrani sana mkuu naona watu wengi wanashauri A52. Hii nadhani itakuwa nzuri maana watu wengi wanaisifia.Ukiongeza bajeti around 60,000/- unaweza pata Samsung Galaxy A52S, ni mid range iliyokamilika kwenye idara nyingi.
Vinginevyo A52 ila sio Kali kihivyo...
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa.
Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha hiyo hela nataka kununua simu hivyo nimeona nilete hili wazo humu ndani nipate ushauri mzuri kutoka kwenu. Simu ninayotaka nataka iwe na vigezo vifuatavyo
_display nzuri
_uwezo wa kukaa na chaji angalau Masaa kumi kulingana na kazi ninayo fanya.
_Camera nzuri
_storage angalau ianzie 128gb
_Ram angalau pia ianzie 6gb
Karibuni kwa mawazo hapo, najua humu Kuna watu wazoefu wa haya mambo hivyo naombeni ushauri hapo.
NB, nataka mpendekeze android mobile phone maana huko upande wa pili yaani ios si mshirika maana na kwa hiyo bei niliyo nayo siwezi Pata hata iPhone X iliyo kwenye ubora mzuri.
Natanguliza shukrani.
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Shukrani sana mkuu.Kwenye simu za bei hizo hakuna ya kuifikia Samsung A52..
Kanunue hii simu hautajutia
Sina matumizi makubwa mkuu wangu zaidi ya uliyoyataja.Matumizi yangu ni ya kawaida tuu mkuu.Mkuu una matumizi makubwa au kawaida tu?
Ni power user au utakua unatuma tu message WhatsApp na kupiga picha?
Nijibu nikushauri simu ya kuchukua
Kwa hiyo bei mkuu sitaweza kupata mpya.. Mimi nataka kitu kipya kabisa.Samsung note 10+
Asante sana mkuu kwa ushauri wako.Hiyo budget unapata Samsung mid range phones kali kabisa kama A72, A52 nk.
Ama piq unaweza kupata simu kali za Xiami, One plas, Oppo nk. Hizi brand za kichina kali kabisa.