Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,734
- 97,598
Hahaha kila mtu fundi. Na mi ngoja nipngeze:
Kama unataka camera chukua Google Pixel 4 au 4a (600,000/=)
Kama unataka ukae nayo zaidi ya 2 years chukua X au XR (800,000 hadi 900,000/=)
Kama unataka budgetiwise na chenji irudi chukua Xiaomi Note.
Samsung chukua Note kama unataka simu kubwa na unashida na stylus pen.